JUSTINE BIEBER NA SELENA KURUDIANA.....!!!!

.
Hapa ni wakati Bieber alipopigwa picha akiwa amesave picha ya Selena kwenye wallpaper.
Mapaparazzi ni noma sana, wameifatilia weeeee mpaka wamepata uhakika kwamba mwimbaji staa Justine Bieber na mpenzi wake Selena Gomez wamerudiana.

Unaambiwa mpango wa kurudiana ulithibitika wakati Bieber yuko Norway akifanya show, Selena nae alimfata….
Pilikapilika zao ndio zilifanya mkanda mzima upatikane ikiwemo Selena kuandika kwenye twitter.


0 comments: