-
Maecenas mattis, tortor ut posuere aliquam
iam wisi quam lorem vestibulum nec nibh, sollicitudin volutpat at libero litora, non adipiscing. Nul...
-
Post with SoundCloud
iam wisi quam lorem vestibulum nec nibh, sollicitudin volutpat at libero litora, non adipiscing. Nul...
-
Consectetur adipisicing elit
iam wisi quam lorem vestibulum nec nibh, sollicitudin volutpat at libero litora, non adipiscing. Nul...
-
Post With Featured Image
iam 1989 wisi quam lorem vestibulum nec nibh, sollicitudin volutpat at libero litora, non adipiscing...
-
Elementum mauris aliquam ut
iam wisi quam lorem vestibulum nec nibh, sollicitudin volutpat at libero litora, non adipiscing. Nul...
Showing posts with label vichekesho. Show all posts
Mimi na girlfriend wangu
tulikuwa tunapendana
sana. Tulikuwa
tumeishakuwa pamoja
kwa muda wa miaka
minne hivi, na hivyo tukaamua tuoane.
Ila kulikuwa na jambo
moja dogo lililokuwa
likinisumbua sana, nalo si
linguine bali ni mdogo
wake wa kike ambae kiukweli alikuwa mzuri
sana.
Huyo binti (shemeji
yangu) alikuwa na umri
wa miaka ishirini na moja
hivi, na muda wote alipendelea kuvaa sketi
fupi fupi na fulana
nyepesi au brauzi
zinazoonesha mwili
wake.
Na kwa jinsi kifua chake kilivyo alikuwa hahitaji
kuvaa sidiria, naamini
unapata picha ya mtu
nnayejaribu
kumzungumzia.
Pamoja na binti huyu kuwa mwembamba kiasi,
alikuwa na umbo la
ajabu, yaani kiuno chake
kiliumbwa mithiri ya
nyingu mweusi.
Tatizo ni kwamba mara nyingi binti alipokuwa
akiniona alikuwa na tabia
ya kujipitisha pitisha na
kuinama mbele yangu ili
kunionesha mtaji wake.
Kusema kweli nilikuwa navutiwa sana na uzuri
wake, na pia nilijua
alikuwa ananifanyia
makusudi maana alikuwa
hafanyi hivyo kukiwa na
watu wengine, bila shaka alikuwa ananitaka.
Siku moja binti huyo
alinipigia simu niende
nyumbani kwake
nikaangalie kadi za
mialiko ya harusi alizokuwa amechapisha,
nilipofika (wakati naingia
ndani) akaninong'oneza
kuwa ananitamani sana
na kamwe hawezi
kujizuia. Akaendelea kunieleza
kuwa anahitaji tufanye
mapenzi kabla sijafunga
ndoa na dada yake ili
nisijisikie vibaya kwamba
natoka nje ya ndoa. Nilipatwa na bumbuwazi
na hasa kutokana na
nguo za nusu uchi
alizokuwa amevaa.
Kabla sijamwambia lolote
akaniwahi na kusema "Mimi natangulia juu
(ghorofani) kwenye
chumba changu, kama
unahitaji nikupe kitu
kitamu njoo haraka
kabla mashetani yangu hayajapoa" akageuka na
kukimbilia chumbani.
Haraka nikageuka na
kuelekea mlango
mkubwa wa kutoka nje
kutaka kuelekea kwenye gari yangu.
Daaah...! Kwa mshangao
mkubwa nikaona pale
nje familia yote
imekusanyika,
waliponiona nikitoka wakanipigia makofi na
vigelegele kwa furaha,
huku wengine machozi
yakiwatoka kwa furaha.
Baba mkwe akaniambia
"Tumefurahi sana kwamba umeshinda
mtihani mdogo wa
uaminifu ulioandaliwa na
familia. Ila kiukweli unajua ni nini
hasa kilikuwa kinafata...?
Ukweli ni kwamba MDA
ULE NATOKA KULE NDANI
NILIKUWA NAENDA
KWENYE GARI KUCHUKUA CONDOM…!

Read More »

WATU WENGINE WANA KAUGONJWA KAKUCHELEWA. MMAMA MMOJA AMBAYE ALIKUJA NA EAFOS ONE, AMEJIKUTA ANALAZIMIKA KUFANYA BIASHARA NDOGONDOGO ILI ABANGAIZE AWEZE KUPATA NAULI YA KURUDIA KWAO, BAADA YA KUCHELEWA NA KUACHWA NA DEGE LILE KUBWA. INADAIWA ALIENDA KUSETI NYWELE SALUNI KINONDONI ALIKOKUWA KAPATA MASHOSTI WAPYA ALIOKUTANA NAO TWANGA. JICHO LA BLOG HII LILIMKUTA MAHAKAMA YA NDIZI, MABIBO,
AKIWA HOI KATOKA KUNUNUA JUMLA MIKUNGU YA NDIZI TOKA KWENYE FUSO ZILIZOTOKA MBEYA. USHAURI MDOGO TU KWAKE, PLEASE MADAM SALE FASTAFASTA OR THE AFRICAN BOYS WILL MARRY YOU OHOOO SHAURI ZAKO: CREDIT - CHEKA NA KITIME

Kituko: Mama wa miaka 52 akamatwa kwenye chumba cha mtihani akimfanyia binti yake mtihani!
5:25 AM 0 commentsNani kama mama? Hapa najua wote tunajua jibu…upendo wa mama kwa mwanae haupimwi hivi hivi. Lakini upendo huu ukizidi bila kutumia busara hugeuka kuwa kituko ama kero hasa pale mama anapoamua kuvunja sheria ili kumfurahisha mwanae mpendwa awin kimaisha.
Mwanamke mmoja mfaransa (52) amejikuta mikononi mwa polisi wa jiji la Paris katikati ya mwezi june, baada ya kukamatwa kwenye chumba cha mtihani akimfanyia mtihani wa Kiingereza mwanae mwenye umri wa miaka 19, huku akijiweka kisichana zaidi wasimshutukie.
Ripoti kutoka nchini humo zinasema mwanamke huyo aliyejulikana kwa jina la Caroline D aliingia kwenye chumba cha mtihani akiwa amevaa skin jeans na viatu aina ya Converse ili aonekane kama mwanae.
Lakini jicho makini la msimamizi wa mtihani lilimnasa mama huyo kwa kuwa msimamizi alikua tayari alishamuona mwanae wakati anafanya mtihani wa Philosophy, kwa hiyo akamshtukia mama huyo kwa muonekano wake na sura yake ya kiutu uzima.
Msemaji wa Polisi wa Paris alisema mwanamke huyo alikiri makosa yake ya udanganyifu na kusema kuwa kiukweli yeye alikuwa anaweza zaidi Kiingereza zaidi ya mwanae.
Mwanamke huyo anakabiriwa na mashtaka ya udanganyifu na anaweza kulipa fine isiyopungua £7,000.
Lakini pia binti yake anaweza kupata msala wa kuzuiwa kufanya mtihani wowote wa kitaifa kwa muda wa miaka mitano.
Kweli ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu.
Read More »
HATIMAE MALIA OBAMA AMEANZA KUNIKUBALIA AWE DEMU WANGU-ANAHITAJI NIMCHAGULIE NYIMBO NZURI YA KIBONGO
5:43 AM 0 comments
Hbr wana kufuatia baadhi ya ushauri ambao mlinipa mtoto Malia Obama ashaanza kuja kwenye lane
Nimechat nae FB nikamueleza yale ya moyoni tayari lakini bado haja tick (hajakubali) kkatika maongezi maongezi akaniambia nimchagulie nyimbo nzuri........ambayo ala zake na maneno yake yataingia hadi moyoni ili aweze kunifikiria huba la penzi langu kwake,kanipa masharti lakini iwe nyimbo ya kibongo(yaani bongo flavor)
Nikifanikisha kum dedicate nyimbo itakayomuingia rohoni ameniahidi atakuja kunitembelea kwetu kwa mtogore_tandale na baba yake ,na mimi nimemuahidi kumchinjia kuku mkwe wngu pindi akitua kwa mtogore
Nitawapa updates zaidi...
Mimi Muota Ndoto za Mchana
Source:Jamii Forums

Maajabu..!! Unaona kile ambacho me naona hapa?? kama huoni sogelea picha vizuri uone..!!
Noona Kitu KIKUBWA ambacho ni mali ya mtu hapa..!!mmmmmmhhh angalia vizuri picha uone kile ninachokiona mie...!! Kuna watu wamebalikiwa jamani....!! Dada zetu mpo katika shida kweli hapa...!!
Read More »
DU!!! HII NAYO KALI JAMAA AZAMA KWENYE MTORO WA MAJI MACHAFU BAADA YA YEBO YEBO YAKE KUDUMBUKIA HUMO:
7:29 AM 0 commentsRead More »
HUYU NDIO MSHKAJI AMBAYE AMEFUKUZWA HUKO SAUDI ARABIA KUTOKANA NA KUWA HANDSOME KUPITA KIASI, MCHEKI HAPA
9:59 AM 0 commentsHuyu ni Omar Borkan Al Gala, mwigizaji na pia mpiga picha wa huko Dubai ambaye kwa mujibu wa taarifa, yeye pamoja na wenzake wawili wamefukuzwa huko Saudi Arabia kutokana na kuwa na muonekano mzuri kupitiliza (Yaani ma-handsome kupita kiasi) ili kuepusha kuwaingiza katika tamaa wanawake ambao hushindwa kujizuia kuwashobokea.
Omar alitolewa na maafisa wa polisi na kunyimwa kuhudhuria katika tamasha ambalo hufanyika kila mwaka nchini humo ambalo huusisha mbio za Ngamia, Janadriyah Festival ambalo kwa sehemu kubwa huhudhuriwa na matajiri, na baadhi ya vyanzo vya taarifa vinasema Omar alitolewa kutokana na mualiko wa msanii wa kike maaruku kutoka Falme za Kiarabu ambaye walihofia angeweza kutengeneza mahusiano naye.... na wengine wakisema ni hofu ya wakubwa kuibiwa mademu wao.

CHANZO : SAM MISAGOBLOG
Read More »
MREMBO ABAMBWA KWA WIZI WA MAMILIONI. APEWA KICHAPO CHA KUTOSHA. SOMA STORY YAKE HAPA
9:57 AM 0 comments
MREMBO mmoja, Rukia Omari mkazi wa Mbezi Beach jijini Dar amebambwa akidaiwa kuiba fedha kwa njia za miujiza eneo la
Bunju Mwanjenje kwenye duka la Wapemba.
Imeelezwa kuwa katika tukio hilo, Rukia alichukua fedha kimiujiza dukani na kutokomea, hali iliyosababisha wenye duka kutangaza dau la shilingi 500,000 kwa atakayewezesha kukamatwa kwake.
Arobaini zake zilipowadia, Rukia alikamatwa akiwa mafichoni, Boko Mtambani na kushushiwa kichapo na wananchi wenye hasira
wakimtaka amtaje aliyemtuma.
Baada ya kupokea kichapo, mrembo huyo aliwataja baadhi ya watu akiwemo mganga mmoja anayetokea Sumbawanga (jina tunalo)
na kudai kuwa ndiye aliyekuwa akimpa dawa (chuma ulete).
“Dawa hiyo huwa naiweka kwenye pesa zangu nyumbani ili ziongezeke na nyingine huwa natembea nayo kwa ajili ya kujipatia
pesa,” alisema mrembo huyo.
Mrembo huyo alikiri kufanikiwa kuiba mamilioni ya shilingi kwa kutumia dawa hiyo na kuomba asamehewe. Rukia aliokolewa na
ndugu zake pamoja na wasamaria wema waliompeleka kwenye Kituo cha Polisi cha Wazo alikofunguliwa mashtaka ya wizi.
Tukio hilo ni la pili kwa Rukia kwani mara ya kwanza alikamatwa Tabata jijini Dar es Salaam miezi michache iliyopita kwa tuhuma
kama hizo lakini akaachiliwa baada ya kuomba msamaha.

STORY NA PICHA ZA WANAWAKE WA5 WALIONASWA WAKILA URODA NA WANAUME WAWILI GESTI. SOMA HAPA
9:48 AM 0 commentsKatika zoezi hilo, polisi walivamia kambi kuu inayotajwa kusheheni wanawake wanaojiuza iliyopo Mwananyamala A ambapo ‘wauza sukari’ hao hutumia vyumba vyao kufanya ufuska huo.
Polisi hao walipofika kwenye chumba kimoja kilichopo eneo hilo, walikumbana na upinzani mkubwa wa watu waliokuwa ndani na baada ya kufanikiwa kuufungua mlango, waliwakuta wanawake watano na wanaume wawili wakiwa kimahaba.
Mbali na hao, polisi walifanikiwa kuwanasa wanawake wengine kwenye vyumba vyao na baadhi mtaani wakijiuza ambapo walipewa kibano cha hali ya juu.
Imeelezwa kuwa, wanawake hao wamekuwa na tabia ya kujiuza na wakati mwingine hukubali kufanya mapenzi na wanaume zaidi ya mmoja, hali ambayo ni hatari sana.
Mkazi mmoja wa eneo hilo, Husein Juma alisema: “Kwanza tunampongeza Kamanda Mtafungwa kwa operesheni hii, wanawake hawa wamekuwa ni tatizo kwani wamekuwa wakijiuza waziwazi na kutupa ovyo kondomu.
Naye Inspekta Swai alisema wamekuwa wakipokea malalamiko kutoka kwa wananchi wa eneo hilo wakaona ni vyema kuyafanyia kazi ambapo waliwakamata zaidi ya watu 35, wanawake kwa wanaume wanaohusika.
Read More »
HUYU NDO BINADAMU MZEE ZAIDI KULIKO WOTE DUNIANI, ANA MIAKA 116. SOMA HISTORIA YAKE HAPA
9:46 AM 0 comments
The oldest man ever recorded, Jiroemon Kimura, celebrated his 116th birthday Friday with a message from Japan’s prime minister as health chiefs launched a study into why his home city boasts so many centenarians.
Kimura, who greeted guests including the mayor of Kyotango city and officials from the Guinness World Records had a very busy day.
“You give us pride and confidence in the people of Japan,” Prime Minister Shinzo Abe said in a pre-recorded video greeting that marked the milestone.
Mayor Yasushi Nakayama also congratulated Kimura on reaching the ripe old age of 116, making him the current world’s oldest person and the longest living man on record.
“Yes, yes, thank you,” said Kimura, who is still a way off from the all-time record set by Jeanne Calment, a French woman who died in 1997 at the age of 122 which made her the longest living person in history.
Kimura, who was born in 1897 – the same year as American aviation pioneer Amelia Earhart – spent time in hospital after falling ill late last year, but was back in the home he shares with his 60-year-old grand-daughter-in-law on Friday.
The centenarian whose weak bones means he now has to stay in bed most of the time, but never misses his three meals a day, he said.
Kimura had seven children, 14 grandchildren, 25 great-grand children and 14 great-great grandchildren, and worked at a post office for about 40 years. After retiring he took up farming which he continued to do until the age of 90.
He does not smoke, he eats only until he is 80 percent full, and drinks only a “modest” amount of alcohol, local authorities and media said.
His motto in life is “to eat light and live long”.
Encouraged by Kimura and 94 other people in Kyotango’s 60,000-strong population who will this year be 100 years old or more, the city has launched a research project to find the secret of their longevity.
“We have a very high centenarian rate, about 2.5 times higher than the prefectural average,” said a local health official.
“We don’t have city-based data, but Kyotango’s rate is even 1.27 times higher than Kochi prefecture, the top of all the 47 prefectures in Japan.”
Health officials are researching the diet of Kimura and other centenarians, the official said.
“We are interested in what they eat and how much. We are especially keen to research how much salt they consume.”
The city of Kyotango, near Kyoto, is sandwiched between the Sea of Japan (East Sea) and a mountain range. It is naturally blessed with good seafood and farm products, the official said.
“We are also interested in knowing what kinds of local food they like to eat and if this helps them live so long,” he said.
The city plans to compile a recipe book based on the study and unveil it at a symposium on longevity in November.
“We want city residents to know of the secrets of what enables a long life-span but also to

Subscribe to:
Posts (Atom)