DU!!! HII NAYO KALI JAMAA AZAMA KWENYE MTORO WA MAJI MACHAFU BAADA YA YEBO YEBO YAKE KUDUMBUKIA HUMO:
Baadhi ya wakazi wa jiji wakimuangalia mtu ambaye hakufahamika jina aliyekuwa akitafuta kiatu kilichotumbukia katika mfereji wa majitaka, kama alivyokutwa Ubungo, Dar es Salaam juzi.
0 comments: