ARUSHA KWACHAFUKA TENA.....MABOMU YA MACHOZI YATUMIKA
Hali kutoka mkoani si nzuri...mabomu ya machozi yanapigwa kuwatawanya wananchi waliojitokeza kuiaga miili ya wananchi waliofariki katika mlipuko wa bomu...
Chanzo cha mabomu hayo ni mabishano kati ya serikali na wanachi kuhusu sehemu maalumu ya kuigia miili hiyo tayari kwa safari ya mwisho...
Taarifa toka mkoani humo zinadai kuwa gari la mh. Lissu liteketezwa vibaya kwa bomu
0 comments: