WASANII WAKIKE WANAPIGA PICHA ZA UCHI ILI KUPATA UMAARUFU....!!


NCHI za wenzetu staa kupiga picha za utupu si kitu kigeni lakini Tanzania sheria na maadili ya Mtanzania hayaruhusu kufanya hivyo.
Pamoja  na sheria  kutoruhusu, wasanii  wetu  hasa  wa  kike  wamekuwa  wakihaha  usiku  na  mchana  kuusaka  umaarufu  wa  kujulikana  kwa  jamii  kwa  njia  za  panya,....
Wengi  wao  wamepoteza  sifa  za  uwajibikaji  na  badala  yake  wamejikita  katika  Skendo  chafu  ili  jamii  iwajue...

Nakaya



Hali  hii  imewafanya  wasanii  wengi  wa  kike  wawe  na  umaarufu  wa  skendo  chafu....
Miongoni  mwa  skendo  hizo  ni:

1.Kupiga  picha  za  uchi
Hili  ni  kundi  la  wasanii  chipukizi  wanaosaka  umaarufu  kwa  gharama  yoyote....Ni  skendo  ambayo  huwachafua  sana, lakini  pia  ni  skendo  ambayo  huwainua  na  kuwafanya  wajulikane....


Mfano  halisi  wa  wasanii  wa  kundi  hili  ni  Rayuu,Agness  Masogange, Lulu  Michael,Pendo  wa  Maisha plus

Pendo Moshi (Pendo wa Maisha plus)



2.Kutumia  madawa  ya  kulevya
Hili  ni  kundi  la  wasanii  ambao  hutumia  madawa ya  kulevya   na  kisha  hukimbilia  katika  vyombo  vya  habari  na  kujitangaza  kwamba  ni  wavuta  bangi  na  kwamba  "hivi  sasa  wameacha"

Lulu Michael (Hot Lulu)
3.Kuvaa  nusu  uchi
Hili  ni  kundi  lenye  wasanii  wengi  sana.Hawa  ni  wasanii  wenye  imani    ya  kuwa  mastaa  kwa  kuvaa  nusu  uchi  huku  mapaja  na  matiti  yao  yakiwa  wazi ...
Wahanga  wa  kundi  hili  ni  wasanii  wa  kike  ambao  sote  tunawajua.

Rayuu

4.Kutovaa  chupi  na  kujipitisha  mbele  ya  kamera
Hili  ni  kundi  la  wasanii  wachache  ambao  umaarufu  wao  umekwisha.Ili  kujiinua  tena  kwa  jamii, wasanii  hawa  hutumia  skendo  nzito  kama  hizi  ambazo    huifanya  jamii  istuke..!...Mfano  halisi  ni  Nakaaya.



1 comment: