-
Maecenas mattis, tortor ut posuere aliquam
iam wisi quam lorem vestibulum nec nibh, sollicitudin volutpat at libero litora, non adipiscing. Nul...
-
Post with SoundCloud
iam wisi quam lorem vestibulum nec nibh, sollicitudin volutpat at libero litora, non adipiscing. Nul...
-
Consectetur adipisicing elit
iam wisi quam lorem vestibulum nec nibh, sollicitudin volutpat at libero litora, non adipiscing. Nul...
-
Post With Featured Image
iam 1989 wisi quam lorem vestibulum nec nibh, sollicitudin volutpat at libero litora, non adipiscing...
-
Elementum mauris aliquam ut
iam wisi quam lorem vestibulum nec nibh, sollicitudin volutpat at libero litora, non adipiscing. Nul...
Showing posts with label music. Show all posts
HII NI KWA WALE OTE WAPENDA GOOD MUSIC...!! NI MUDA WAKO SASA KUWASILIANA NA HUYU KAMA UNAHITAJI INSTRUMENT (BEAT)
9:40 PM 0 commentsHii kwa wale wote wapenda good music...!!
Artist: Charlee Best ft. Pissa Man
Spong: Body
Producer: Charlee Best
Studio: Hit the Beat Record
Charlee Best (Upcoming producer and Singer From Heat The Beat) Mliopo juu mjipange sana tena sana
wasiliana nae kama unataka beat za ukeli
hizi ni baadhi ya kazi alizo wahi kufanya
Read More »
Mkali wa miondoko ya RnB ndani ya copy and paste.Siku chache baada ya kuachi ngoma yake mpya ya jikubali mshindi wa tuzo ya mashairi bongo Ben Pol imeonekana wimbo mzima wa Jikubali ame copy wimbo wa Hall of fame ulioimbwa na The Script feat Will I a.m;
Read More »
Read More »
KUNDI LA MZIKI LA P-SQUARE WATOA WIMBO MPYA-PERSONALLY-SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA
12:25 PM 0 comments
P-Square has released a new single titled, Personally. Listen to it below and tell us what you think...
Read More »
Read More »
Wengi tulikuwa tumemzoea kama sio yeye kutuzoesha kumsikia akichana kwa haraka haraka kwa takribani ngoma zake zote zilizopita, lakini sasfari hii Quick Rocka ameamua kuja kitofauti kabisa. Wiki tatu zilizopita nilikutana na Quick na akanitonya kuwa ana ngoma mpya ambayo amechana kwa flow tofauti na tuliyomzoea nayo "My Baby". Na sasa ameachia teaser ya video ya wimbo huo, model akiwa ni Hamisa Mobet.
Read More »
Diamond
Prezzo
Prezzo
MKALI wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond’ na mkali wa hip hop kutoka Kenya, Jackson Makini ‘Prezzo’, wanatarajia kupanda jukwaa moja kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Julai 7 mwaka huu.
Kwa mujibu wa Mratibu wa tamasha hilo, Abdallah Mrisho ‘Abby Cool’, mpambano huo unatarajiwa kutegua kitendawili cha ‘Nani Mkali’ kati ya wasanii hao kwenye Ukanda wa Afrika Mashariki na kudai kuwa ana imani itakuwa burudani murua kwa wakazi wa jiji na mikoa ya jirani.
Alisema Diamond ambaye ana tuzo ya Msanii Bora wa Kiume ya KTM, ataoneshana ubavu na mkali Prezzo, ambaye ndiye anayeongoza kwa kupendwa nchini Kenya, hivyo unatarajiwa kuwa mpambano mkali kwa kuwa utakuwa ni kati ya Bongo Fleva na hip hop.
Aliongeza kuwa mpambano huo ambao unahusisha Kenya na Tanzania, kwa upande wa ngumi kutakuwa na Patrick Amonte kutoka Kenya na Thomas Mashali wa Tanzania huku Shadrack Machanje akizichapa na Francis Miyeyusho.
“Ukiachana na ngumi, pia bendi za Msondo Ngoma, Jahazi Modern Taarab na Sikinde zitakuwapo kuhakikisha wanakidhi haja za mashabiki wote watakaojitokeza siku hiyo, huku TMK Halisi na Wanaume Family watawafundisha mashabiki wao staili mpya za uchezaji wao, hivyo hii si ya kukosa,” alisema.
Alivitaja viingilio kuwa ni sh 20,000 kwa VIP, viti vya bluu sh 10,000 na mzunguko sh 5,000. Tiketi zitaanza kuuzwa mapema na vituo husika vitatajwa baadaye.
Read More »
Nature Amdiss Sam Misago Katika Wimbo wake Mpya Baada ya Kumfukuza Kwenye Interview
11:03 AM 0 comments
Licha ya kuwasilisha malalamiko yake kwenye Facebook kutokana na kitendo hicho, Nature hajaishia hapo na sasa amemchana mtangazaji wa kipindi hicho kwenye wimbo mpya wa TMK Halisi, Fitina.
Katika wimbo huo Nature anachana, “Halafu watu wengine sijui wanakuwaga ni mapimbi, eti msanii kaingia studio na ndala na amevaa pensi hakujua anayosema kwenye Facebook na Twitter sijui kisa hela alizopewa na mameneja feki wasiopenda wa Uswazi, mzomeeni huyo, sasa kazi kwake na raia wake.”

Hata baada ya yale tuliyoyaona kabla ... Mwanadada anaetamba na wimbo wake wa JOTO, HASIRA ... LADY JAYDEE amempongeza na kumpa 5 mwanamuziki mwenzie ... BEN POL ...
Lady JayDee ambae few minutes ago, ametweet, "Wooh!! @IamBenPol So nimeskia umeimba unampenda Lady Jaydee !! Kula 5 kwanza mengine yatafuata baadae " ...
Ben Pol nae akajibu, "Yeeaaah!! nakupa then inakuwa #Celebratiiiooons" ...
Lady Jaydee na Ben Pol waliwahi kukwaruzana kupitia mtandao huo wa twitter na kuwa katika hali ya kutoelewana kabisa ...
Katika ngoma mpya ya Ben Pol ambayo anatarajia kuitoa mwisho wa mwezi huu, ame-release TEASER yake inayofahamika kama #JIKUBALI na amemtaja Lady Jaydee katika mwanzo wa wimbo huo ...
Katika mazungumzo yao mtandaoni, Lady Jaydee alimaaliza kwa kutweet, "Good boy " ...
Well, this is more of LETS BURY THE HATCHET ... This is very good hasa kwa wasanii kama hawa wanaofanya vizuri na kufaa kuigwa ...

Tanzanian musician Lucas Mkenda better known as Mr. Nice last week came back to the music scene via Kenya’s recording label Grandpa Records.
In his four years out of the limelight, a lot has been said about him and there have been rumors that he used his money badly which led Ali Kiba to singing the track MacMuga.
However, word on the street has had it that he may be HIV positive but recently Mr. Nice said that he has been tested and he is negative.
There you have it.

Lady Jay Dee Afunguka Tena "Naamini Kabisa kuwa Mungu Sio Ruge wala Kusaga, Atanisimamia Kwenye Hili:
10:58 AM 0 comments
Baada ya mafumbo mengi na vijembe huko twitter na bbm hatimaye mwandana komandoo na super star Lady Jay Dee ameamua kufungua na kutaja majina ya hao watu wenye beef nae kupitia ukurasa wake wa twitter. Jide amefungua na kupodt yafuatyao
Dah naskia jana kwenya interview yake na TBC alimchana Ruge live, tunajaribu kuifuatilai interview hiyo na tutawaletea hapa live kila kitu alicho kiongela super star huyo. Stay tuned!
Hizi hapa chini ni baadhi ya 'tweets' zilizotumwa na msanii huyo hapo nyuma
Lady JayDee ?@JideJaydee
Hata nyimbo zisipopigwa now mi sio underground, won't complain. Nani asiemjua JayDEe? Am not crazy
Lady JayDee ?@JideJaydee
Basi mjue kuwa tatizo langu sio nyimbo kutopigwa redioni. Its more than that. U dig??
Lady JayDee ?@JideJaydee
Now nategemea nguvu ya uma #diehardfans
Lady JayDee ?@JideJaydee
Na tweet hivi sbb sikuwahi kulalamika nikaamua kufanya kazi. Lakini kazi inapowekewa uzito wa jiwe isipenye. That's another case...

Subscribe to:
Posts (Atom)