HII NDIYO NYIMBO YA JIKUBALI ALIYOCOPY NA KU PASTE MSANII BEN POL
Mkali wa miondoko ya RnB ndani ya copy and paste.Siku chache baada ya kuachi ngoma yake mpya ya jikubali mshindi wa tuzo ya mashairi bongo Ben Pol imeonekana wimbo mzima wa Jikubali ame copy wimbo wa Hall of fame ulioimbwa na The Script feat Will I a.m;
0 comments: