Showing posts with label udaku. Show all posts

RAY C NA KAULI YAKE KUHUSU RECHO KUCOPY STYLE YAKE YA UIMBAJI....!!!

0 comments
Mwanamuziki wa kitambo Rehema Chalamila maarufu kama Ray C ana matarajio ya kurudi katika game baada ya kuwa fiti sasa kiafya. Kupitia mtandao wa instragram Ray C amekuwa akitupia picha zinazomuonyesha akiwa na afya nzuri tena kanona si haba!


Watu wengi wamekuwa wakimuhoji kupitia mtandao huo kuhusiana na mwanamuziki Recho kutumia style inayofanana na Ray C kama anafurahia au lah huku kukiwa na nmafikirio huenda hapendezwi na kitu hicho lakini ukweli ni kuwa Ray C anamfurahia na hivi karibuni wanarajia kudondosha kolabo kwa mujibu wa alichokiandika Instagram.
Alianza kwa kupost picha ya Recho..


Kisha akaandika maelezo..



Katika interview kadhaa Recho ameshawahi kukiri kuwa alivutiwa na Ray C kuingia katika muziki na ni mmoja katika ya wanamuziki anaowazimia mpaka leo na ndio maana style zao za  uimbaji na uchezaji zinafanana.Ray C pia aliwahi kuandika ujumbe wa kuwashukuru mashabiki wake kwa kumsapoti alipopata matatizo ya kiafya mpaka leo.

Najaribu kuvuta picha ya kolabo ya wawili hawa halafu siipati hiyo picha yenyewe

Read More »

Unyama: Binti aoza sehemu za siri amiminika usaha, baada ya kubakwa na kulatiwa

0 comments
Mabinti wa kazi ni sehemu ya familia zetu kutokana na majukumu ya nyumbani tunayoawaachia ikiwemo mapishi,malezi ya watoto,uangalizi wa nyumba n.k. Tunaaswa kila mara kuishi nao vizuri maana nao ni binadamu na wanahitaji upendo. Si kila mtu analitambua hili,ukatili na unyama kwa mabinti hao umeendelea kushika kasi kila kukicha!
Binti mmoja (jina tunalo) kutoka Mtwara aliyeletwa Dar es salaam kuja kufanya kazi amejikuta kwenye mateso makali baada ya kutelekezwa bila nauli na kukutana na fataki aliomshawishi na kumuweka kinyumba na kusababisha majanga hayo yaliyofanya nimweke kwenye blog hii.




Akizungumza na Hatua Tatu ya Times fm Binti huyo amesema,Akiwa na umri wa miaka kumi na tano (15) tu, alitolewa kwao Mtwara na kuletwa hapa Dar na dada mmoja aliyemtaja kwa jina moja la Sophia kwa ajili ya usaidizi wa kazi za ndani.Kwa maelezo yake ilitokea siku alimchapa mtoto wa bosi wake ndipo bosi alipokasirika na kufikia hatua ya kumtimua bila ya kumpa nauli ya kurudia kwao.

Alikutana na baba mwenye mke na watoto wa nne akamshawishi atampa maisha mazuri, akamweka kinyumba na kuanza kumtumia kimapenzi kinyume na maumbile. Kutokana na umri mdogo alionao,ilimsababishia kuharibika sehemu zake za siri na baba huyo na kumtelekeza baada ya kumtomlipia kodi sehemu aliyompangia chumba na majirani wa hapo ndio waliomsaidia.


Hivi sasa binti huyo ameoza sehemu zake za siri anamiminika usaha tu na amehifadhiwa hospitali ya Amana anakopatiwa matibabu na misaada midogo kama chakula.Cha kusikitisha zaidi baada ya kupimwa kakutwa na Ujauzito wa miezi mitatu na kapimwa virusi vya UKIMWI ambapo Vipimo vinatoka leo alhamisi kujua kama kaathirika au la.

Baada ya leo nitakupa jibu nini kimeendelea kuhusu vipimo na jinsi ya kumpa  msaada binti huyu. Pia unaweza kumsikiliza leo Alhamisi na kesho kupitia Radio Times ndani ya kipindi cha  Hatua Tatu.


Source: mamuafrica

Read More »

JOKATE, MUSSA KIPANYA WAZUA JAMBO

0 comments
MWANAMITINDO na mtangazaji maarufu Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na Mtangazaji Mussa wa runinga wamezua jambo kufuatia picha zinazodhihirisha urafiki wao uliodumu kwa zaidi ya miaka kumi kunaswa.
Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ katika pozi na Mtangazaji Mussa.
Awali paparazi wetu aliinasa picha ya wawili hao ambayo kwa mujibu wao, walipiga miaka kumi iliyopita na walipokutana tena mwaka huu wakapiga mpya.
Baadhi ya wadau walioziona kwa mara ya kwanza, waliibua minong’ono kuwa urafiki wao ni wa siku nyingi hivyo kuna uwezekano wakafikia hatua ya ndoa.
 
Musa na Jokate katika picha ambayo inadaiwa kupigwa miaka kumi iliyopita.
“Urafiki wao ni wa kitambo, wanaweza kuja kuoana kabisa sababu aina ya maisha yao ni ya usiri sana,” alisema mdau mmoja ingawa wenyewe wamesema hawana cha kuzungumza juu ya hilo.

Read More »

LULU KURUDI DARASANI KUPIGA KITABU...!!

0 comments
STAA wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekazia nia yake ya kutaka kurudi shule siku chache zijazo.
 
Lulu aliandika hayo juzikati alipokuwa akichati na mashabiki wake kupitia ukurasa wa facebook ambapo alikuwa akiulizwa maswali na kuyajibu live kupitia Runinga ya East Africa.
 
Mmoja wa mashabiki wake alimuuliza Lulu kuhusu mipango yake ya kurudi shuleni ambapo alimjibu kuwa yupo katika mipango  hiyo hivyo hivi karibuni atarudi darasani.
 
“Am on process..soon mpenzi nitarudi darasani,” aliandika Lulu ambaye awali alidaiwa kukatisha masomo yake ya sekondari.

Read More »

WAFUNGWA WA SEGEREA WAMTUMIA KEKI KAJALA SIKU YA BIRTHDAY YAKE

0 comments
 
Keki iliyotumwa na wafungwa katika ‘bethidei’ ya Mwigizaji Kajala Masanja.
KATIKA hali ya kushangaza, baadhi ya wafungwa walio nyuma ya nondo za Gereza la Segerea a.k.a Segedansi, Dar, wametuma keki ya ‘bethidei’ kwa Mwigizaji Kajala Masanja ikiwa ni miezi michache tangu alipoachiwa huru baada ya Wema Isaac Sepetu kumlipia faini ya Sh. milioni 13.
 
Kajala akishika sahani ya keki kwa ajili ya kumlisha Wema.
Tukio hilo lilijiri Jumatatu iliyopita Julai 22, mwaka huu ambapo mwanadashosti huyo alikuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa bila kutaja umri aliofikisha.
Kabla ya pati hiyo na zoezi la kukata keki ikiwemo iliyotumwa na wafungwa hao, iliyopangwa kufanyika wakati wa kufuturu, Kajala aliianza siku hiyo kwa kwenda kutoa misaada kwa watoto yatima.
 
 Baadhi ya keki alizoletewa Kajala.
Huku akiongozana na rafiki zake, Kajala alikata keki yake ya  kwanza katika Kituo cha Watoto Yatima cha  Mitindo House Talent (MHT), kilichopo Msasani, Dar, kinachomilikiwa na  mbunifu maarufu wa mavazi, Khadija Mwanamboka.
Baada ya kukata keki mbili ambazo alikwenda nazo kituoni hapo, Kajala pamoja na wapambe aliongozana nao walikwenda moja kwa moja nyumbani kwa Beautiful Onyinye au Madam Wema, Kijitonyama jijini Dar ambapo shughuli nzima ilichukua nafasi wakati wa futari.
Katika futari hiyo ambayo ilikuwa ni kwa ajili ya kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Kajala, walialikwa watu mbalimbali huku kukiwa na vyakula vya kila aina wakiwemo mbuzi wawili wa kuchoma.
Baada ya futari watu walihamia kwenye ukataji wa keki zilizokuwa mezani zipatazo kumi na tano kutoka kwa marafiki wa Kajala huku Wema akiwa amenunua keki tano kwa ajili ya ‘shostito’, wake huyo.
Katika keki zote, iliyowafurahisha watu wengi ni ile iliyotumwa na wafungwa wa Gereza la Segerea iliyokuwa imeandikwa ‘Happy Birthday Mkuu wa Nyapara From Segerea Crew 2013’ ambayo kila mtu aliyeisoma alikuwa akicheka na kuanza kumtania mwanadada huyo kuwa ni Nyapara.
Kajala alisema kuwa Keki hiyo kutoka ilimkumbusha maisha ya gerezani lakini pia alifurahi kuona watu aliokuwa nao lupango humo  kumkumbuka hivyo alifarijika kupita maelezo.
Kajala alitupwa gerezani wakati kesi yake na mumewe Faraji Agustino ya kutakatisha fedha haramu ikiunguruma ambapo baada ya hukumu, mwanadada huyo alitakiwa kwenda jela miaka mitano lakini alilipiwa faini na kurejea uraiani huku mumewe akienda ndani.

Read More »

MGONI AKATWA MIGUU YOTE MIWILI BAADA YA KUNASWA AKILA URODA NA MKE WA MTU HUKO KILOSA....MADAKTARI WASEMA HATATEMBEA TENA..!!

0 comments
ALI Omar, mkazi wa Kijiji cha Mabana, wilayani Kilosa, Mkoa wa Morogoro anashikiliwa na polisi kwa kosa la kumkata miguu Said  Iddi kwa kumtuhumu kumfumania na mkewe aliyejulikana kwa jina la mama Ali, mkanda mzima upo mikononi mwa Amani.

Tukio hilo la kikatili lilijiri Julai 15, mwaka huu wakati Said na mama Ali walipokuwa ndani ya nyumba ya Ali iliyopo kijijini hapo.


 Miguu ya Said Iddi ikivuja damu baada ya kukatwa.

MANENO YA SHUHUDA
Akizungumza na mwandishi wetu, shuhuda mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja alisema Said alifumaniwa ndani ya nyumba asubuhi akiwa na mke wa Ali baada ya kuwekewa mtego ambao ulimnasa vizuri.


 
Mke wa mtu sumu: Said  Iddi akiwa chini baada ya kukatwa miguu na Ali Omar.
Ali alipewa habari na kijana mmoja aitwaye God kwamba mkewe si mwaminifu katika ndoa, akamwongezea kuwa anatoka kimapenzi na Said. Ndipo Ali na mnyetishaji wake huyo walipopanga kumfumania jamaa,” alisema shuhuda.
 
Chini ya ulinzi: Mwenye mali, Ali Omar (kati) akiwa chini ya ulinzi baada ya kumkata Said.
Aliongeza kudai kuwa, Said ni msimamizi wa mashamba ya Ali kijijini hapo na kwamba God ni mtoto wa mwenye nyumba ambayo Ali amepanga kijijini hapo.MPANGO WA FUMANIZI
Habari zinapasha kuwa mara baada ya mnyetishaji kutoa taarifa za usaliti huo, Ali alimtafuta  ‘baunsa’ ambaye jina lake halikuweza kujulikana mara moja na wakaweka mtego kwa kujificha karibu na nyumba hiyo ambayo Said angeingia ili kuivunja amri ya sita ya Mungu.

 
Umbea kazi: Kijana aitwaye God (kulia) aliyetoa taarifa kwa Ali naye akiwa chini ya ulinzi.
Katika kufanikisha mtego huo, mmbeya huyo alipewa jukumu la kuhakikisha nyendo za Said na mama Ali siku hiyo zinarekodiwa mpaka kuingia ndani ya nyumba hiyo na kumtaarifu Ali ambaye siku hiyo alimuaga mkewe kwamba amesafiri.

SAID ATINGA NYUMBANI KWA ALI
Habari zinasema mtoboa siri huyo alimwambia Said kuwa Ali amesafiri na ndipo jamaa akafunga safari kwenda kwa mama Ali kwa nia ya kujivinjari licha ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ukifikia katikati.
Habari zinadai mara baada ya kufika kwa Ali, Said aliingia ndani ya nyumba bila kujua kwamba mwenye mke alikuwa amejificha jirani akisubiri mtego unase.
Inasemekana Said akiwa ndani, Ali na baunsa wake waliibuka kwa kutaarifiwa na God na kumnasa jamaa huyo huku akidai ni mgoni wake. Alimuuliza maswali kadhaa, yakiwemo haya:
Umekuja kufanya nini ndani ya nyumba yangu? Kwa nini umekaa na mke wangu?”
Habari zinasema Said alijibu hakuona ubaya kwa kuwa yeye ni mwangalizi wa mashamba ya mwanaume huyo hivyo anaweza kuingia ndani kwake wakati wowote.

MWENYE MKE ATIBUKA NA MAJIBU, AMWAGA DAMU
Jibu hilo lilidaiwa kumtibua Ali na ndipo yeye na baunsa wake wapomfunga kamba miguuni Said na kuanza kumkata kwa panga mguu mmoja kisha kuugeukia wa pili.
Said alipiga mayowe yaliyowafanya wanakijiji kukimbilia eneo la tukio kwa lengo la kujua kulikoni ambapo walimkuta Said akiwa anavuja damu na sehemu ya nyuma ya miguu ikiwa nyanga’nyang’a.

MWENYE MKE AKIMBIA, ANASWA
Ali, God na baunsa walikimbia eneo hilo. Baadhi ya wanawake walitumia khanga zao kuifunga miguu ya Said kwa lengo la kujaribu kuzuia damu isiendelee kumwagika. Said alikuwa akilia sana.
Wanakijiji walichukizwa sana na ukatili uliofanywa na Ali, hivyo wakaanza kumsaka na kumkamata kichakani akiwa amejificha pamoja na God. Alipewa mkong’oto kwa lengo la kutaka kumuua, lakini viongozi wa kijiji walisihi asiuawe bali afikishwe kwenye kituo cha polisi,” alisema shuhuda.

MKE, MUME, MMBEYA WAFIKISHWA POLISI
Polisi wa Kituo cha Dumila waliitwa na kumchukua Said, Ali na God kwa kutumia gari aina ya Land Rover lenye namba za usajili T 750 AAJ. Mke wa Ali yeye alipelekwa polisi kwa pikipiki.
Walipofika kituoni, Said alipewa fomu ya matibabu ya polisi (PF 3) na kupelekwa Hospitali ya Wilaya ya Kilosa kwa matibabu.
Pale hospitali Said alishonwa miguu yote lakini madaktari wakaamua ahamishiwe katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro kwa matibabu zaidi,” alisema shuhuda huyo.

ANAWEZA ASITEMBEE TENA
Akaongeza: Daktari mmoja alisema haamini kama jamaa (Said) atatembea tena kwa sababu zana iliyotumika kumkata ilifika hadi kwenye mishipa ya nyuma ambayo ndiyo humfanya binadamu aweze kusimama na kutembea.

BAUNSA ASAKWA
Afisa mmoja wa polisi kituoni hapo ambaye hakupenda jina lake liandikwe gazetini kwa kuwa si msemaji, alisema wanaendelea kumsaka baunsa aliyeshirikiana na Ali kumkata miguu Said.

SOURCE: GPL

Read More »

UJUMBE MZITO KUTOKA KWA IRENE UWOYA KWENDA KWA JOHARI

0 comments
Katika pita pita zetu leo hii tuliweza kupata ujumbe mmoja mzito na wa kutia moyo toka kwa mwanadada Irene Uwoya aliomwandikia mkongwe wa bongo movies nchini kwa upande wa kinadada Blandina Chagula maarufu kama Johari wiki chache zilizopita.
Ujumbe huu wa Irene ni ujumbe wa kutia moyo na unaweza kuwa kama “Motivation message” kwa wadada wengi hapa mjini ili badala ya kukaa na kuwaza kupata mali au mafanikio kwa njia za mkato au zisizo halali basi wafanye kazi kwa bidii ili kujikwamua kiuchumi.
Tukinukuu ujumbe huo Irene kwa Johari aliandika….
“Wewe nimwanamke wapekee...mchapakaz sana...atawaongeee vp kaza moyo...one thng u hav to know if God say yes no body I mean no body can say no...so don gv r f*ck
Hii inawahusu wadada wote jamani. Nyie ni wanawake wapekee, wachapakazi, kazeni moyo. If God say yes, nobody can say no (Mungu akisema ndio hakuna awezaye kusema hapana)

Read More »

DIWANI NA MWENYEKITI WA CHADEMA APANDISHWA MAHAKAMANI KWA KUIBA MKE WA MTU

0 comments

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Rorya ambaye pia ni Diwani wa kata ya Tai Bwn Godfrey Masirori leo amepandisha katika mahakama ya mwanzo Shirati baada ya kufumaniwa na mke wa mtu jana jioni.
Diwani huyo alikamatwa na mke wa mtu aliyejulikana kwa jina la Ninja katika Guest ya Tripple O Shirati Kabwana.Ninja alipata taarifa za mkewe kuwepo mahala hapo baada ya kuambiwa na mashuhuda na haraka akaripoti polisi na polisi kufanikiwa kuwakamata wawili hao.

Awali wawili hao waligoma kufungua mlango hvyo kuwalazimu polisi kubomoa mlango na kuwakuta wakiwa uchi wa mnyama.

Ikumbukwe kuwa hii si mara ya kwanza kwa kiongozi huyo kukumbwa na kashfa za namna hii na mwaka juzi alinyang'anya mke wa mtu.Pia mwaka jana alikamatwa na kuswekwa rumande kwa tuhuma za wizi wa mahindi ya msaada katika kata yake ya Tai.

Read More »

TAMAA MBELE: MKE WA NDOA ATAKA KUMUUA MUMEWE NA MTOTO WA MUMEWE ILI ARITHI MALI...!!

0 comments
"Mke wa ndoa inadaiwa ilipanga na majambazi wamuue mumewe ili aweze kumiliki utajiri alionao"
Arusha. Mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite mkazi wa Moshono, anadaiwa kutaka kuuawawa na mke wake wa ndoa ili aridhi mali.
Mwanamke huyo alikamatwa na polisi Julai 19 mwaka huu baada ya mpango wake wa kumuua mumewe wa ndoa kwa kutumia majambazi anaodaiwa kuwalipa Sh30 milioni kama malipo ya awali.

Inadaiwa licha ya kutaka kumuua mumewe waliyezaa naye watoto wawili, alipanga kumuua mtoto wa kwanza wa kiume wa mume wake aliyezaa na mwanamke mwingine. Mtoto huyo anaishi mkoani Kagera.

"sikuamini kama itafika siku mke wangu wa ndoa, tena ya Kikristo atafikiria kunitoa roho kwa sababu ya mali, wakati nimempa yeye na familia yake kila wanachohitaji duniani" alisema mwanaume huyo huku akitokwa na machozi.
Alidai kuwa tukio hilo limempa mafundisho tofauti na alivyokuwa anafikiri awali.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, alipotakiwa kuzungumzia suala hilo hakukiri wala kukanusha kukamatwa kwa wahusika wanne wa mpango huo, lakini alisema atatoa taarifa rasmi baada ya mahojiano na watuhumiwa.

Taarifa za mpango huo zinadai kuwa mwanamke huyo ktk kutimiza azma yake, alimfuata dereva teksi mmoja eneo la Kijenge kumtafutia watu wanaoweza kufanya mauaji hayo.
Inadaiwa dereva huyo aliwasiliana na 'wahusika' na kuwapa mpango huo, lakini mmoja wao hakutaka kushiriki' aliamua kufikisha suala hilo Polisi walioweka mtego na kuwanasa.

Mhusika huyo ambaye hakutaka kutajwa alithibitisha kushirikishwa na kulipwa Sh5 milioni, ikiwa ni malipo ya awali kati ya Sh20 milioni alizoahidiwa.

Hata hivyo, baada ya kukwama mpango wa awali mwanamke huyo aliamua kutimiza azma yake kwa kumtumia dereva teksi huyo huyo kumtafutia wauaji wengine.
Inaelezwa dereva teksi huyo alifanikisha kukodisha wauaji wengine na kuwasafirisha hadi mkoani Kagera kwa ajili ya kufanya mauaji ya mtoto wa kwanza wa kiume wa mume wake aliyezaa na mwanamke mwingine.

Baada ya kupata taarifa hizo, Polisi waliweka mtego na kufanikiwa kuwanasa wahusika wawili mkoani Kagera, hivi sasa wanahojiwa Kituo Kikuu Cha Polisi Arusha.
Polisi baada ya kuwanasa watuhumiwa hao, walianza upelelezi na kufanikiwa kukamata mwingine na mwanamke huyo ambao hadi sasa wanaendelea kuhojiwa.
Inadaiwa baada ya wahusika kunaswa mwanamke huyo alijaribu kutoa Sh50 milioni, ili kuzima sakata hilo, lakini jitihada hizo ziliishia kwenye mtego wa Polisi waliojipanga na kumnasa.
Taarifa za kunaswa kwa mwanamke huyo zilianza kusambaa mwishoni mwa wiki iliyopita, kabla ya kuthibitishwa na mumewe na Polisi.

Read More »

ACCOUNT FAKE YA FACEBOOK YA LADY JAY DEE YABADILISHWA JINA SASA...!! KWELI WATU WANASIFA....!!

0 comments



 Kwa ambao hamjapata taarifa kuweni makini na account ya Facebook yenye jina Judith Wambura Jidee Machozi ni account fake.. Na huyo sio Jide wala Lady JayDee ni li mtu mtu tu. Poleni kwa yote.

HII NDO ACCOUNT FAKE BOFYA HAPA
                                                       JINA LA MWANZO

 JINA LA SASA



SOURCE: 2JIACHIE

Read More »

KWELI POMBE SIO MAJI, TAZAMA MREMBO ALIVOTIA AIBU BAADA YA KUZINYWA POMBE

0 comments








Read More »

HII NDIYO GARI ALIYONUNUA WEMA SEPETU...!! KITU CHA PINKI

0 comments

 

Haya ndio Maneno ya Martin Kadinda aliyoandika facebook na kuweka picha ya Wema akiwa na gari hilo

"samahani kwa ubora wa picha kuwa hafifu....... Ila huyu dada anapenda pink kupitiliza..... haya she gat new pink Car.... mkutane barabarani..." aliandika Martin.

Read More »

GARI YA MTOTO WA MFALME AMBALO UKITAKA KULIGUSA LAZIMA UTOE MILIONI MOJA

0 comments
 
Najua wajua ila kama unataka kujua zaidi: Mtoto wa Mfalme wa Saudi Arabia ana miliki hii Mercedes. Thamani yake ni hela za Kibongo Bilioni 80 na kila anayetamani kuligusa lazima alipe hela za kibongo milioni 1 na laki 7. (Dola Elfu Moja).

Read More »

MAMA SHAROMILIONEA HAJAKABIDHIWA MALI ZA MWANAE MPAKA LEO

0 comments
Mama Sharomilionea
Mama mzazi wa Marehem msanii wa bongo movie (comedy) na Bongo Flava Sharomilionea amefunguka kuwa mpaka leo anashangaa hajakabidhiwa baadhi ya vitu vya thamani alivyokua akimiliki mtoto wake kipindi yuko hai, na tayari imeshapita miezi 8 tangu Sharomilionea afariki kutokana na Ajali ya Gari aliyoipata mwaka jana mwezi wa kumi na  moja mita chache kabla hajafika kijijini kwa Lusungu Muheza Tanga,
Mama Sharo ametiririka kuwa kuna Gari aina ya Oper, ambayo alikubaliana na Mudy Suma rafiki wa Marehemu Sharo kwamba iuzwe halafu yeye wampelekee Pesa bado hajapewa wala kuambiwa chochote, pia kuna Pesa za Pango la nyumba aliyokua ameikodisha sharo milionea, kwa sababu sharo alihamia katika nyumba hiyo na kuishi kwa muda mfupi ndo akafariki dunia,
Nilipomuuliza kuhusu Bajaj ya iliyooachwa na Sharo, mama alijibu kuwa Bajaj hiyo inafanya kazi ya kubeba abiria jijini na Pesa za biashara hiyo amekua akitumiwa karibu kila wiki na kijana aliyekabidhiwa kuiendesha.
Mama Sharo aliongeza kuwa anaomba wahusika wampe haraka Pesa hizo ili akajenge nyumba kwenye kiwanja kilichoachwa na marehem maeneo ya Mbezi kwa sababu akichelewa chelewa watu watakimega kiwanja au kukidhulumu kabisa.
Licha ya mali zilizotajwa hapo juu, pia kuna movie aliyoigiza Sharomilionea na Kitale hajaambiwa imeishia wapi japo bado haijaingia mtaani.
Lawama zote hizi ameangushiwa Muddy Suma, jamaa ambaye gari yake aina ya Harrier ndiyo aliyopata nayo ajali Sharomilionea na kusababisha kifo chake, na walikua wamebadilisha na gari yani Sharo alimwachia Muddy Gari yake aina Oper, ila Muddy Suma aliahidi atalirudisha gari hilo kwa wazazi wa Sharo na yeye amesamehe kiroho safi

Read More »

BLUE NA NAJ WAELEZA MAHUSIANO YAO YALIVYOKUWA MPAKA SASA NDANI YA SPORAH SHOW.., CHKUA MUDA WAKO KUTAZAMA KILICHOTOKEA

0 comments
On The Sporah Show today we are privileged to have Stars from Tanzania not only one but three all on one seat Mr Blue, Sultan King and the beautiful Naj.
Guess what i started my interview with Mr Blue and Naj on ONE set, i mean one seat next to each other. 
And this is how we started.
We Talked About Their Relationship As Boyfriend And Girlfriend..!It Wasn't an easy question as i thought..! So this is what happend

Then!

You go on... You go on... You go on.. You go on...!
O.K.A.Y.
We started off as friends and we're getting a little bit closer and closer and closer and..... "She said"
Then what happened?
We're just COOL like that...! Sporah..! 
Okay.!

Yees, We are cool.

Then We Talked About They're Music Career
I have been so quite YES.! but now am back.
I was quite too, busy with school but all done.  Now am getting back to work so you will hear from me soon. "Naj Said"
Any Chance Of Mr Blue And Naj Hitting The Studio Together, For A New Collaboration.
Absolutely
 We already have the song Sporah soon you will hear it.
Sporah: Good
And trust me Sporah its gonna be A HUGE TUNE..! 
We Talked About Artist Using Social Network.!
Blue and Naj, are not soo into social network! WHAT!

Am just lazy Sporah, but am getting there.!
Am doing my best to keep up with my fans.

THEN, SULTAN KING FROM ZANZIBAR JOINED US ON STAGE.
Sultan King told us about Music industry in Zanzibar-Tanzania.
We Laughed Our Heads Off, It Was So Much Fun
Random Pictures
   

  

                                                                  
 
  
   

Thank so much guys it was a day to remember.

Read More »