Showing posts with label maajabu. Show all posts

HUYU NDIYE MWANAUME PEKEE AMBAYE HAJAWAHI KUOGA WALA KUKATA NDEVU

0 comments
Mr Singh na Mkewe
Hakika haya tunaweza kuyaita mafanikio ya ajabu kwa mzee huyu kutokana maamuzi yake.Labda tumite Mr Adui wa Maji ila jina lake kamili ni Mr Kailash Singh akiwa na ndiye anayeshikilia rekodi ya mtu anayenuka zaidi kutokana na kutokuoga kwa zaidi ya miaka 37 sasa.

Mr Singh, 65, hajaoga na hata kukata nywele zake zenye urefu wa futi 6 toka mwaka 1974, mda mfupi mara baada ya kutoka kuoa.

Akielezea juu ya uamuzi wake wakushangaza, Mr Singh anasema mchungaji alimuahidi zawadi ya mtoto wa kiume kama atafata ushauri.

Licha ya majirani kuwa wanamtania na kumdhihaki jamaa huyo walishindwa kubadili maamuzi yake na namna ya kipekee alifanikiwa kumshawishi mke wake, ila cha ajabu zaidi ni pale ambapo imani yake imeonekana kumdanganya kwani ameishia kupata watoto saba ambao wote ni wa kike.

Source:Dan Chibo

Read More »

MWANAMKE ALIYEPOTEA KWA MIAKA 50, APATIKANA AKIWA KIKONGWE....!!!

0 comments
 
Royal Canadian Mounted Police (RCMP)

MWANAMKE mmoja aliyepotea kwa zaidi ya miaka 50 mjini Surrey, Columbia amepatikana akiwa hai na kikongwe huku akiwaacha na maswali waliompata kutokana na hali aliyokuwa nayo kwa sasa.
Mwana mama huyo, Lucy Johnson (77) alipotea akiwa na mumewe, Marvin Johnson tangu mwezi Mai, 1965 na taarifa kuripotiwa polisi wa mji huo kwa uchunguzi zaidi. Hata hivyo baada ya juhudi za kumtafuta kushindikana kitengo maalumu cha polisi wa upelelezi kiliamua kumfungulia kesi mumewe juu ya tukio la kupotea kwa mkewe baada ya kuamini anahusika.
Hata hivyo uchunguzi ukiwa unaendelea Marvin alifariki dunia miaka ya 1990 akiwa bado hajahukumiwa juu ya kesi ya upotevu wa mkewe iliyokuwa ikimkabili. Polisi wamekiri kuwa Lucy alipotea tangua miaka 1961 na taarifa zake kuwasilishwa.
Ikiwa ni zaidi ya miaka 50 sasa, Lucy ametambuliwa na mtoto wake wa kike, Linda Evans ambaye wakati mama yake anapotea binti huyu alikuwa na umri wa miaka kati ya saba na nane.
Linda Evans amefanikiwa kumpata mamayake mwezi Juni mwaka huu baada ya safari ndevu ya kumsaka kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na kutoa matangazo katika magazeti na majarida, hata hivyo amempata akiwa tayari ameolewa na mume mwingine na familia ya watoto wanne.
Evans alishangaa kupokea simu kutoka mjini Yukon kwa binti mmoja ambaye alijitambulisha kuwa mwanamke huyo anayetafutwa pia ni mamayake, hivyo kutaka kujua kama ni yeye au ni mtu mwingine anayefanana majina na yeye.
“…nina maswali mengi ya kutaka kumuuliza mama baada ya kumpata, nafikiri nitakuwa sehemu ya familia…nafikiri nikikutana naye nitamkumbatia na hapo maisha yangu yatakuwa ya mafanikio,” alisema binti huyo akihojiwa na gazeti moja mjini Columbia mara baada ya kupokea simu mamayake amepatikana.
Hata hivyo taarifa zaidi zinasema mama huyo baada ya kuhojiwa anasema hakumbuki kama aliwahi kuolewa na kuwa na familia, kama inavyojulikana.

Read More »

MAAJABU YA DUNIA: Msichana aliyekuwa mvulana na Mvulana aliyekuwa msichana sasa ni wapenzi baada ya kubadili jinsia ‘transgender’!

0 comments
Ni ngumu kuamini kwamba wapenzi hawa walibadili jinsia zao ‘transgender’ mvulana akawa msichana na msichana akawa mvulana na sasa ni wapenzi wakiwa na jinsia zao mpya!
arin after-1
Kushoto Arin (zamani msichana) na kulia Katie (zamani mvulana)
Miaka miwili iliyopita vijana hawa Arin Andrews (17) na Katie Hill (19) kutoka Oklahoma, Marekani walifanyiwa surgery ya kubadili jinsia zao na sasa wanaishi kwa furaha wakiwa na jinsia walizokuwa wakiziota.
Arin after-3
Kabla ya kubadili jinsia zao Arin alikuwa msichana kwa jina la Emerald, na Katie alikuwa mvulana aitwaye Luke.
arin kabla
Kushoto ni Emerald Andrews kabla hajawa mvulana wa sasa (Arin) na kulia ni Luke Hill kabla hajawa msichana wa sasa (Katie)
Katie ambaye ni mwanafunzi wa chuo alifanyiwa upasuaji na bubadili jinsia kwa msaada wa mchango wa $35,000 kutoka kwa mfadhili ambaye alisoma habari yake kwenye chombo cha habari.
Arin after-4
Arin ambaye bado yupo shule pia alifanyiwa upasuaji wa kuondoa matiti yake na sasa anafurahia kuonesha kifua chake cha kiume baada ya kuanza kwenda gym, kitu alichokuwa hawezi kufanya hapo kabla kutokana na kuwa na mwili wa kike,
‘Now I can wear a tank top, which I couldn’t before, I can go swimming shirtless, I can walk outside, I can just be a regular guy now. I hated my breasts, I always felt like they didn’t belong – now I can finally be comfortable in my own body. ‘Now when I’m out in a public pool, or lifting weights, no-one raises an eyebrow, they just think I’m a guy – just a skinny dude in the gym trying to build some muscle”. Alisema Arin
Arin aliongeza kuwa ameshangazwa na jinsi familia yake ilivyompa sapoti katika hatua zote za upasuaji na uamuzi wake wa kubadili jinsia

Read More »

MAAJABU MENGINE YAKUSHANGAZA DUNIA YAZUKA IBADAN SAMAKI MWENYE VIUNGO VYA BINAADAM APATIKANA

0 comments



Hundreds of residents of Ibadan, Tuesday, rushed out to catch a glimpse of a strange fish which was said to have human parts at Asaka compound area of the city. 

The incident happened at Ile Akindele when a fish seller noticed the strange creature after removing the wrap of a frozen fish. 

Ramota, who was said to be the fish seller reportedly, raised alarm to attract others to the strange sight. 

She said, “I went to where we usually buy fish at Kola Eleja, Oke Ado, Ibadan. After I finished, I boarded Okada to my place to prepare the fish for sale. 

Before getting the fish out of the ice-pack, we needed to use knife to remove them and use water to de-freeze. I was shocked to see the frozen fish developed into a living being in the water, the description of which showed half human and half fish. I quickly called my father and some Alfas to see the strange fish”. 

The father of the woman, a retired civil servant, Pa Rauf Salawu who corroborated the story said he had never seen such a thing before. 

He narrated his own side of the story saying, “it was around 11am, when I started hearing the voice of my daughter while I was resting on my bed. She was shouting and screaming to the extent that people in the compound were attracted. 

Then, I decided to check what was the problem. I took along my Quran and on getting there, my daughter had gone to call another Muslim leader in the neighbourhood. 

I saw the strange fish inside water in the bucket . It was strange, how can a fish bought in the cold room develop into human. That I cannot fully explain.” 

Due to the crowd, police men from Mapo police station were there to control the crowd. 

The fish seller was then taken into the custody of the police. Several calls made to the police were not picked.

Read More »

BIKIRA MARIA AONEKANA KANISANI, JIONEE HAPA

0 comments


bikira maria Picha juu ni ya Kanisa la Kikatoliki la Saint Benedict, lililopo Ubiaja, Esan Kusini Mashariki ya Jimbo la Edo nchini Nigeria.
Waumini wa Kanisa hilo wanasema kwamba waliiona kitu kinachofanana na Bikira Maria kwenye ukuta wa Kanisa hilo mnamo siku ya Jumapili July 21.
bikira maria.2Waumini hao walifanikiwa kuchukua picha....
Je unaiona? Je inahitaji maelezo ya ziada juu ya hili?
Angalia na picha hapo juu...?

Read More »

HUYU NDO MTOTO WA KIHINDI MWENYE MKIA NA KUSABABISHA WATU KUMSUJUDIA KAMA MUNGU WAO

0 comments

Read More »

MAAJABU:MBUZI AZALIWA NA VICHWA VIWILI TENA KWA MAUMIVU MAKALI SANA

0 comments

Kuanzia Saa 10 Alfajiri zilisikika kelele za Maumivu kutoka kwa mbuzi jike ambaye alikuwa anajifungua, Kelele zilikuwa kubwa mno kuashiria maumivu makali alikuwa anayapata kiumbe huyo, palipozidi kupambazuka ilibidi majirani waende kushuhudia kulikoni kwa mbuzi kuwa na kelele kiasi kile, na ndipo walipojionea maajabu baada ya mbuzi jike huyo kujifungua watoto watatu, wawili kati ya hao wakiwa ni wa kawaida kabisa na mmoja akiwa na vichwa viwili.

Hayo ndio yaliyojiri Alhamisi ya jana tarehe 18 July 2013 Huku katika Jimbo la Irolini Kwara, Nigeria. Hata hivyo mbuzi huyo alizaliwa na vichwa viwili alifariki saa chache baadae
.

Read More »

HUU NDIO MTI WA KUSHANGAZA ULIOINGIZA MAMILIONI YA PESA, UNA SURA YA MTU

0 comments
Unaambiwa hicho ndicho kivutio nchini china kilicho vunja record ya kuangaliwa na watalii kutoka barani amelican na kuingiza kipato kikubwa cha pesa:hakika mti huu unashangaza sana
Read More »

MAAJABU: Mtoto azaliwa akiwa kavaa Rozari huko nchini Nigeria...sio hadithi shuhudia hapa

0 comments


http://www.talkofnaija.com/images%5Cbsby-480x330.jpg


The residents of the ancient town of Bida in Bida Local Government Area of Niger State were bewildered yesterday when a baby girl holding tightly to a rosary (tesbiy) in her hands was born.
The incident, which occurred at 2pm at Kotuworo area of Bida, close to the house of Alhaji Muhammadu Bello Mansaba, the man with 86 wives, was said to have made people to troupe in from all over the town in the bid to have a look at the baby born to Mrs. Adijat and Mallam Issa, who both hail from Lama, Kwara State.
It was gathered that earlier in the day, Adijat, seized by labour pangs, was rushed to the home of a midwife, Abubakar Baiwa Shasha, where she was delivered of the baby girl.

Read More »

MAAJABU: HUYU NDIYE DADA MWENYE NYWELE NDEFU SEHEMU ZA SIRI DUNIANI... KICHAKA

0 comments
Huyu ndiye mwanamke mwenye nywele ndefu kuliko wote katika sehemu za siri...!! Watu wanajua kufuga bwana.. we unaweza kuziweka ivyo??

Read More »

HUYU NDIYE BABU ANAYETAKA KUMFUFUA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ILI ASIMAMIE UCHAGUZI MKUU 2015, AZUA GUMZO KUBWA..!!

0 comments

Mzee (pichani) aliyeibuka hivi karibuni akidai kuwa ana uwezo wa kumfufua Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere amezua gumzo.
 Babu huyo aliibuka katika studio za Kyera FM huko mkoani Mbeya akihitaji msaada wa kumfikisha Butihama alipozikwa Mwalimu Nyerere mwaka 1999 ili amfufue. 


Mzee huyo alikuwa na ufunguo mkononi ambao anadai ndiyo utakaotumika kumfufua Nyerere. Anaeleza kuwa akishamfufua Mwalimu Nyerere ndiye atakayesimamia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.


Read More »

UKISTAAJABU YA MUSA, UTAONA YA .....:: KIJANA WA MIAKA 23 AMUOA KIBIBI KIZEE CHA KIJERUMANI CHENYE MIAKA 83

0 comments

How can a 23 Year old boy marry a mama old enough to be his grandma?
They look so happy together. Big congrats to them.

Read More »