NEW VIDEO: QUICK ROCKA FT. SHAA AND NGWAIR (trailers)

Wengi tulikuwa tumemzoea kama sio yeye kutuzoesha kumsikia akichana kwa haraka haraka kwa takribani ngoma zake zote zilizopita, lakini sasfari hii Quick Rocka ameamua kuja kitofauti kabisa. Wiki tatu zilizopita nilikutana na Quick na akanitonya kuwa ana ngoma mpya ambayo amechana kwa flow tofauti na tuliyomzoea nayo "My Baby". Na sasa ameachia teaser ya video ya wimbo huo, model akiwa ni Hamisa Mobet.

0 comments: