KARIAKOO MOTO UNAWAKA LEO NI BALAA!!!!! MADUKA YATEKETEA KWA MOTO



Moto mkubwa umezuka jijini Dar es Salaam 

Karibu kabisa na Soko Kuu la Kariakoo leo 
 
Asubuhi na kuteketeza baa moja. Chanzo cha 

 moto huo inadaiwa kuwa ni hitilafu ya 

 umeme 
 
 iliyotokea jirani na baa hiyo.


chanzo:globalpublishers

0 comments: