Nakaaya: Najilaumu kurudisha kadi ya CHADEMA



Kupitia kipindi cha XXL cha Clouds FM, Mwanamuziki wa Bongo Flavor Nakaaya Sumari ameomba radhi watanzania na wanachama wa CHADEMA kwa kurudisha kadi ya CHADEMA na kuchukua ya CCM.

Anaomba Watanzania wajue yeye ni binadam na anafanya Makosa na hamuezi jua ni kwa namna gani anateseka sana .

Anasema hajawahi kulizungumza hili lakini amelisema na anajuta sana.

Nakaya anategemea Kupata mtoto na Kwa kuipenda Tanzania anasema mtoto wake atapewa jina la kiasili ya usukumani .

Mungu akujalie na Watanzania Wamekusikia.

0 comments: