Huyu Ndio Henry Aliye Uwawa
|
Huyu Ndio Henry Aliye Uwawa | | | | | | | |
Wanachuo Wa Chuo Cha Uhasibu Arusha wakibishana na OCD
|
Mbunge Wa Arusha Mjini Godbless Lema Akiwatuliza Wanafunzi WaChuo Cha Uhasibu Arusha |
Taarifa Kutoka Kwa Mwanafunzi Mwandishi Kuhusu Taarifa Zinazo Sambaa Kwenye Chuo Cha Uhasibu Arusha Inasema Kuna Kijana Anaitwa Henry Ni Mwanafunzi Wa BEF 2 Kwenye Chuo Cha Uhasibu Arusha Eneo La Njiro, Alikuwa Masomoni Mida Ya Usiku Na Alipomaliza Aliondoka Na Kuelekea Maeneo Ya Esami, Kabla Hajafika Eneo La Malazi Yani Hostel Alipigiwa Simu Na Mwenzake Amsubiri Ili Waende Wote Hostel. Inasemekana Wakati Anamsubiri Rafiki Yake Kwenda Hostel, Kuna Bajaj Ilifika Eneo Hilo Na Watu Hao Wasiojulikana Wakataka Pesa Kutoka Kwa Mwanafunzi Huyo, Majibu Ya Wanafunzi Hao Hayakuwafurahisha Watu Hao Na Ndio Walipochomoa Kisu Na Kumchoma Mmoja Ya Vijana Hao Tumboni Na Shingoni na Kupoteza Maisha Hapo Hapo, Rafiki Aliye Kuwa Nae Inasemekana Alichomwa Kisu Cha Tumboni Na Kuachwa Akishuhudia Mwenzake Akipoteza Maisha.
0 comments: