Anaitwa Paula mtoto wa mama mwenye talent na baba mwenye talent, so vipi kuhusu mtoto?. Ofcoz hawezi kukosa kuwa na kipaji na yeye pia. Baba yake ni famous producer P Funkna mama yake ni one of the best actress hapa bongo..swali la kizushi ni kwamba atafuata music kwa baba au movie kwa mama.?
0 comments: