HII NDIYO VIDEO YA MWANAMKE ALIEBAKWA NA KUZIKWA MZIMA MZIMA


Matukio ya kikatili yameendelea kutikisa nchini Nigeria baada ya mwanamke mmoja kubakwa na kuzikwa akiwa mzima....
Taarifa toka katika mitandao ya kinigeria zinadai kuwa mwanamke huyo alibakwa na kisha wabakaji wakamfunga miguu na mikono.....



Baada ya kumfunga,Mashetani hao walichimba shimbo porini walikotekeleza unyama huo na kisha kumzika akiwa hai ili kuficha ushahidi.....
Jeshi la polisi nchini humo lilifanikiwa kuipata habari hiyo masaa 12 baada ya mwanamke huyo kuzikwa akiwa hai....
Zoezi la kumfukua dada huyo lilianza, lakini bahati mbaya dada huyo alikuwa amekwisha fariki 

Kama muoga usiangalie hii video

0 comments: