AIBUU.....MSHIRIKI WA TANZANIA AFANYA MAPENZI NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER
Mshiriki wa kiume wa Tanzania, Nando ametutia aibu baada ya uvumilivu kumshinda na kuamua kufanya tendo la ngono hadharani akiwa katika jumba la big brother. hatutaweka video hiyo kutokana na kuwa kinyume na maadili mema kwa jamii yetu ya kitanzania
0 comments: