HICHI NDIO KILE KIVAZI KILICHOSABABISHA LUNDENGA KUMSHUSHA MISS JUKWAANI

Tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita katika Ukumbi wa Hoteli ya Kitalii ya Nashera mjini hapa wakati mrembo huyo alipokuwa akiwania kuvaa taji la mkoa huo....uzalendo ulimshinda lundenga ambae ni msimamizi wa mashindano hayo Tanzania na kuamua kumshusha jukwaani

1 comment:

  1. Duh! hii hatari aiseee!! ila.inawezekana yupo.kibiashara zaidi.wangemuuliza kwa.nini kavaa ivi.

    ReplyDelete