HII NDIO KAULI YA FREEMAN MBOWE ALIPOJISALIMISHA POLISI LEO..!!
Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na mandeleo Mh. Freeman Mbowe na mbunge wa jimbo la Arusha Godbless Lema wamejisalimisha kwa jeshi la polisi huku wakiendelea kusisitiza kuwa ushahidi walio nao hawatauwasilisha kwa jeshi la polisi mpaka pale rais Jakaya Kikwete atakapounda tume huru ya majaji ya uchunguzi
0 comments: