HUZUNI::MWANAMKE AOZA MKONO BAADA YA KUANGUKA KWENYE BAISKELI YA DALADALA -TABORA MJINI TAZAMA PICHA

Janeth Nicholaus (25)mkazi wa Rwanzari Manispaa ya Tabora akionesha mkono wake wa kulia ukiwa tayari umeanza kuoza baada ya kupata ajali ya baiskeli maarufu daladala wakati akitokea nyumbani kwenda Soko kuu la Tabora mjini ajali ambayo ilitokea kwenye makutano ya barabara ya NBC.

Huu ndio mkono wenyewe unavyoendelea kuharibika baada ya kupita hospitali kadhaa hapa Tabora mjini na kushindikana kupona lakini sasa aliamua kufika kwenye huduma ya Maombezi  Kanisa la AGAPE MIRACLE CENTER Mwanzaroad Tabora manispaa kwa Mchungaji Mbagata. SOURCE KAPIPI

0 comments: