MUME WANGU ANATEMBEA NA HOUSE GIRL WA NYUMBA YA JIRANI

Jamani mwenzenu mume wangu ananiambia nina husuda, hii ni nini? Kisa tu nimegundua anatembea na house girl wa jirani..walianza Kuchekeana kila Wakikutana..Baada ya week moja house Girl wa jirani akawa na simu kumbe ile simu mume wangu ndio alimnunulia..Kuna siku nikakuta message mume wangu amemuandikia akimwambia atoke ndani kidogo wafanye mapenzi kwenye gari kama siku ile..Inaniuma sana jamani Nishaurini

0 comments: