MWILI WA NGWAIR KUWASILI WIKI IJAYO JUMANNE


Taarifa zilizoifikia SWAHILITZ zinasema kuwa ,
mwili wa mpendwa wetu,marehemu Albert Mangwair
 utaletwa nchini week ijayo siku ya jumanne,awali ililipotiwa kuwa ungeletwa leo jumamosi ama kesho siku ya jumapili,

ili kufanikisha talatibu zote za mazishi na hata kinachobaki kiwe faraja kwa mama mzazi wa Ngwair aliye kwenye kipindi kigumu cha kumpoteza mwanae kipenzi
 unaweza kuchangia kupitia Tigo pesa kwa watumiaji wa Mtandao wa Tigo au M-Pesa kwa watumiaji wa mtandao wa Vodacom.. Unaweza kutuma Kupitia 
Namba ya kaka wa Marehemu Kenneth Mangwair 
kupitia namba 0717553905 kwa watumiaji wa Tigo Pesa 
na kwa M-Pesa unaweza tuma mchango wako kupitia namba 0754967738.....
au unaweza Kuchangia kwa kudeposit kupitia Benki ya NMB JINA LA MWENYE A/C NI KENNETH MANGWEhaA 2012505840....

0 comments: