Radio, Weasel na Navio wa Uganda watajwa kuwania tuzo za Nigeria Entertainment 2013
Wasanii wa crew ya Goodlyfe, Moze Radio na Weasel pamoja na nyota wa hip hop Navio kutoka Uganda wametajwa kuwania tuzo za Nigeria Entertainment 2013, katika kipengele cha East African Artist or Group of the Year.

Wasanii wengine waliotajwa katika kipengele hicho ni pamoja na P Unit, K’Naan, Fally Ipupa and Camp Mulla kutoka Keny. Tuzo hizo zinategemewa kutolewa tarehe 1, September 2013 katika tukio litakalofanyika New York City.
Huu ni mwendelezo wa mafanikio yanayoendelea kuwadondokea Radio na Weasel ambao takriban wiki mbili zilizopita waliweka historia kwa kuwa wasanii wa kwanza wa Uganda ‘angalau’ kuwa nominated katika tuzo kubwa za Black Entertainment Awards (BET) 2013, katika kipengele cha Best International Act – Africa.
Radio na Weasel kwa sasa wako South Africa ambako wametua jana (May 31) kwaajili ya shughuli moja kubwa ya kuchase paper ambapo wanategemea kuperform katika eviction show ya kwanza ya Big Brother ‘The Chase’ itakayofanyika kesho Jumapili (June 2).

0 comments: