TAZAMA BAADHI YA PICHA ZA MATUKIO MUHIMU KATIKA MECH YA STARS NA IVORY COAST
NDOTO za timu ya Taifa ya Tanzania 'Tifa Stars' kucheza fainali za soka za Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil imepotea baada ya kulala kwa mabao 4-2 kutoka kwa Ivoary Coast leo. Stars imepoteza mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabao ya Stars yamewekwa kimiani na Amri Kiemba pamoja na Thomas Ulimwengu.
0 comments: