WANAIJERIA WAZIDI KUMALIZA MADADA WA KITANZANIA
dada yenu huyu ame dead kisa??? drugs |
ilikuwa ni kutoka UK kwenda Italy na mauti yakamkuta huko kweli drugs noumaaa |
Sonia ni msichana aliyekuwa anaishi Uk na chanzo cha habari hii kimeniambia alipata connection ya Wanaigeria wanaoishi Uk kupeleka Unga (Drugs) Italy, yaliyomkuta ni yale mambo kucheza segere ndani ya tumbo lake (Madawa kupasukia tumboni) na kupelekea umati wake.
Jamani jamani msiwaige wa Nigeria jamani watawaponza maana wanawapa maneno matamu huku wanawamaliza taratiibuu, Akili ku mkuichwa dada zangu
0 comments: