NILIMDANGANYA BOYFRIEND WANGU KUWA KWETU NI MATAJIRI SASA ANATAKA KUWAONA WAZAZI WANGU

Nilipokutana na Boyfriend wangu miaka miwili iliyopita sasa kosa nililofanya ambalo nalijutia ni kujifanya kwetu ni Matajiri huwa namdanganya vitu vingi sana ikiwemo kuwa kuwa Baba angu na Mama angu wanaishi Mbezi Beach na kwenye Nyumba ya Ghorofa , Ila ukweli wazazi wangu ni Masikini wa Kutupwa wanaishi Bagamoyo Ndani ndani ...Sasa kijana huyu amekuwa serious kwa sasa anataka kunioa na mimi ki ukweli kadri siku zinavyokwenda nimezidi kumpenda sana,,Anataka nikamtambulishe Home ili Aaanze Maandalizi ya Harusi....Sasa Sijui nifanyaje ..Mweeeeee

0 comments: