Picha:Ray C anatarajia kuwa mja mzito hivi karibuni
Rehema Chalamila, Ray C a.k.a Kiuno bila mfupa ambae hivi sasa afya yake inaonekana kuwa nzuri zaidi siku zinavyozidi kwenda huku akionekana kuirudisha furaha aliyoipoteza kwa kipindi kirefu, sasa amepiga hatua nyingine kubwa ‘mentally’ na ameanza kutafakari hali ya ujauzito.
Kama uliwahi kuwaza kuwa Ray C anaweza kuwa ameshapotezea swala la kuwa katika hali ya labour inabidi ufute mawazo hayo na kuanza kuimagine The Pregnant Ray C tena akiwa proud na kiumbe atakachokuwa nacho tumboni.
Kupitia Instagram Ray C amezitumia picha za Mama North West ‘Kim Kardashian’ wakati akiwa mja mzito na kutafakari hali hiyo, huku akitoa wito kwa wanaume kuwashimu wanawake kwa kuwa hupitia magumu…lakini anaonekana kuwa excited pia… “she can’t wait”, may be soon.
Lakini swali who will be the lucky guy..? Tusubiri ikifika tutamjua shemeji.
“Mhh wanaume wanatakiwa kutuheshimu sana maana mambo tunayopitia ni magumu kwakweli......So proud of Kim......ikifika zamu yangu cjui itakuaje....can't wait!” Ameandika Ray C.
Hii ndiyo picha aliyoshare Ray C.
Hii ndiyo picha aliyoshare Ray C.
0 comments: