Jay ashika namba 1 katka wasanii walioingiza mkwanja mrefu

Wiki jana illikua ni wiki safi sana kwa mwanamuziki Jay Z baada ile list ya Forber kutoa taarifa na kumtanganga Jay Z (baba Beyonce) kuwa ndiye msanii aliejiingizia kipato kikubwa kutokana na kazi zake mwaka huu 2011 Jay Z ameshika nafasi ya kwanza akifatiwa na mtu mzima Diddy wa DIRTY MONEY, nafasi ya tatu imeenda kwa mnyamwezi ambae ni rafiki wa JIGGA mtu mzima Kanye West(kwa sasa kuna kamvrugano kidogo) hii ilikua ni mara ya kwanza kwa Kanye kuingia katika chati hii tangu mwaka 2009 alipo kuwa katika top 3
      Ifatayo ni list ya Forbes inaposomeka kama ivi; Jay Z kwa muda wa miezi 12 ameingiza $37 million
                   2;Diddy - $35 million
                   3;Kanye West -$15 million
                   4;Lil Wayne - $15 million
                   5;Birdman - $15 million
                   6;Eminem - $14million
                  7;Dr Dre - $14million
                  8;Snoop Dogg - $14million
                  9;Akon - $12million
                10;Ludacris - $12million
                11;Wiz Khallifa - $11million
                12;Drake - $11 million
                13;Pharrel Williams - $10million
                14;Timberland - $7million
                15;Swizz Beat - $6.5 million
                16;Nicki Minaj - $6.5 million
                17;Rick Ross - $6 million
                18;50 Cent - $6 million
                19;Pitbull - $6 million
                20;T.pain - $5 millon
  Hii ndiyo riport kamili ya Forbes katika kipindi hiki cha miezi 12

0 comments: