JAY Z NA BEYONCE HATIMAYE WAWA WAZAZI WATARAJIWA

                                                            Jay Z na Beyonce

Beyonce Knowles amefanya bonge la suprise announcement pande za LosAngeles Marekani kwenye tuzo za MTV Video Music Awards....kwamba She'spregnant!

....Kauja uzito kaleee.........
             Beyonce alionekana akiwa na gauni jekundu na kufunguka mbele ya mapaparazi kuwa anatarajia kupata mtoto wao wa kwanza toka kwa husband wake,Jay-Z baada ya kuoana miaka 3 iliyopita pande za New York City mwezi April 2008
                               Beyonce akionesha ujauzito wake   
                               

0 comments: