P,square na shutuma za wizi wa nyimbo

                                                             Steph Nora Okere Wasanii mapacha wa kutoka nchin Nigeria P,square wanakabiliwa na mashitaka toka kwa Nollywood actress Stph Nora Okere baada ya kudaiwa wamemyibia ngoma yake inayokwenda kwa jina la JEJE iliyopo kwenye album yao mpya ya 5 , INVASION
                                                                  JUDE OKOYE  
  Mkali huyo wa Nollywood ambaye kwa sasa amisanukia fani ya muziki anafunguka kuwa alikutana na kaka  
yao  P,square producer Jude Okoye na kuiba kw akufanyaia sampling wimbo wa JEJE




   Album yao ya 5 ina track 14 na inaitwa THE INVISION  iliyotengenezwa na studio yao P,square R ecords (RS0 ina ngoma ya jeje ambayo mkali wa R&B, soul WAJE anafaya feauturing Jude Okoye alivotitwa na kutaka kuiba na kuamua kusample na kumtaka dada huya kama vipi aende mahakamani                                             

0 comments: