CHRIS BROWN vs RIHANNA...KURUDIANA 2012..?!

CHRIS BROWN vs RIHANNA....TIME HIYOOO   
Celeb Artist,Rihanna na Chris Brown wamebambwa wakiendelea kuwasiliana
kupitia mtandao wa tweeter
Mawasiliano yao kupitia tweeter yameonekana yamekaa kimalavi davi zaidi kwa kila mmoja kuonesha hisia zake za kimapenzi....Na wadau wanafunguka kuwa huenda mwaka huu wakarudiana na kuwa lovers tena!

Ukiachilia mbali tweets hizo ila wa2 wa karibu na Chriss Brown walisema wawili hao kuna uwezekano mkubwa wakaudiana. Mwaka jana kuna kauli ambayo alitoa mama wa Rihanna kuwa yupo ladhi na alishamshawish mwanae huyo kurudiana na Brown. 

0 comments: