Kila Ñapokaribia ku Piii...z Anachomoa na Kuibana Kisha Ananidai vitu vya Thamani!

Jamani eeh naombeni msaada au tu munielekeze huyu mpenzi wngu ni wa namna gani.
Mtaani kwetu kuna demu nimempenda huu ni kama mwezi wa sita sasa,na yeye vilevile anaonyesha kunipenda lakini sina uhakika kwa hili ninalotaka kulitoa moyoni
Kiufupi tu mimi huwa ni mtu wa kupigwa mizinga karibia kila wiki nikimnunulia hiki wiki ijayo atataka hiki na kama unavojua maisha ya siku hizi hela yako tu vitu kama simu vinatoka matoleo kila siku,laptop ndo usiseme ,nguo na viatu kila asubuhi na jioni!sasa basi nilipoona huyu ni mtu wa mizinga kidogo siku hizi huwa na sitasita kutekeleza yani kiufupi nampenda sana sasa inabidi tu nipunguze mapenzi
Lakini cha ajabu kila ninapokuwa nae ndani ya sita kwa sita siku hizi yeye ka-change huwa ninapokaribia kutoa wareno( pale wakuu si mnajua tena shughuli yake pale) huwa anaichomoa na kuibana na kukumbushia ahadi zake za vitu alivyoniomba!!sasaa kwa sababu mimi nakuwa nmezidiwa nataka kumaliza(orgasm) huwa naitikia tu" yes ntakupa"!!kisha ndo anairudishia tena ndani!
Sasa jaman naombeni ushauri wanajamvi wenzangu wake kwa waume hapo napendwa au naibiwa tu?na nifanyeje mie kuli solve hili suala

0 comments: