Mama Yake Zitto Avamiwa na Majambazi Nyumbani Kwake
Gazeti la Mtanzania linaripoti Mama mzazi wa zitto kabwe amevamiwa na majambazi.Walikuwa wanataka computer na kiwekea kumbukumbu flash.Kada wa chadema atajwa kutambuliwa na mama huyo.Alikuwa miongoni wa majambazi waliomvamia.
0 comments: