AKATWA MAPANGA KWA KUCHUKUA MKE WA MTU (MKE WA MTU SUMU)

  
Ramadhani Mahanga ambaye amenusurika kuuawa baada ya kukatwakatwa mapanga na kijana mwenzake anayefahamika kwa jina la Juma  Hamisi ambaye alidai anatembea na mkewe na hivyo kuchukua uamuzi wa kutaka kumuua  katika kijiji cha Isenga manispaa ya Tabora.Baba wa kijana  Juma Hamisi ambaye anadaiwa kumkatakata  mapanga Ramadhani Mahanga akiwa amekwenda kumjulia hali katika Hospitali ya mkoa wa Tabora Kitete ambako amelazwa kwa ajili ya matibabu.

0 comments: