HII NDIO HALI YA MSANII BARNABA TANGU ALIPOPOKEA TAARIFA ZA KIFO CHA MAMA YAKE MZAZI...AMESHINDWA KULA, ANAKESHA AKILIA KWA UCHUNGU..!!

Kiukweli inasikitisha sana tangu asubuhi hajatia kitu chochote tumboni analia ananyamaza,akipewa chakula hakitaki.mungu mjalie ndugu yetu mpe nguvu aweze kumzika mama yake kwa aman na upendo.
R.I.P mama BARNABA, Maziko ni kesho saa 10 katika makaburi ya mburahati,kuanzia asubuhi saa 5 tutakuwa na misa maalum kwa ajili ya marehemu mama barnabas.


0 comments: