HIVI KWA UVAAJI WA NAMNA HII...!! WATOTO WA KIUME WATAPONA KWELI...!! HIVI MADADA ZETU AIBU MMEPELEKA WAPI???

Kwa uvaaji wa namna hii ni nani atakayepona.Wanawake wa siku hizi baadhi yao starehe yao kubwa ni kutembea nusu uchi.Na hii ni chanzo cha kuporomoka kwa maadili ya mtanzania pili na kuongezeka kwa maambukizo wa ugonjwa hatari wa ukimwi,Uchunguzi wa Swahilitz umekuwa ukishuhudia uvaaji wa namna hii nyakati za usiku katika kumbi mbalimbali za starehe hapa nchini
Huyu nae bila hata chembe ya aibu akamua kukaa uchi kabisa,Kwa haraka haraka kabisa hapa hakuna nguo ,Binadamu wa zama hizi cjajua aibu imekwenda wapi.endelea kupitia Swahilitz,hii ni moja ya kumbi za starehe dada huyu akiburudika bila wasiwasi wowote



0 comments: