HIVI NDIVYO MSANII BARANABA ALIVYOPOTEZA FAHAMU WAKATI WA MAZISHI YA MAMA YAKE KIPENZI...!!
Baada ya kuweka udongo Barnaba akaishiwa nguvu.
Barnaba akiwa kapoteza fahamu wakati wa mazishi ya mama…
Mwanamuziki Elias Barnabas 'Barnaba' akiweka udongo katika kaburi la mama yake mzazi, Mariamu  Arubeth.
Baada ya kuweka udongo Barnaba akaishiwa nguvu.
 Barnaba akiwa kapoteza fahamu wakati wa mazishi ya mama yake.
Akipatiwa huduma ya kwanza.
Baada ya kuzinduka.
Akipelekwa hospitalini kwa ajili ya matibabu.
Mwanamuziki Elias Barnabas 'Barnaba' jana  alipoteza fahamu wakati wa mazishi ya mpendwa mama yake mzazi, marehemu  Mariamu Arubeth katika makaburi ya Mburahati jijini Dar es Salaam. Hali  ya Barnaba ilibadilika baada ya kuweka udongo katika kaburi la mama  yake ndipo alipopoteza fahamu na kupatiwa huduma ya kwanza kisha  kupelekwa hospitali. BLOG HII inampa pole msanii Barnaba na wanafamilia wote  kwa msiba huu
 


0 comments: