JUMATATU HII NDIO MAZISHI YA LANGA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI




Langa alifariki jana jioni baada ya kulazwa katika hospitali ya Kinondoni na kisha kuhamishimwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kutokana na kusumbuliwa na Malaria pamoja na homa ya uti wa mgongo, Meningitis.
Langa Kileo alizaliwa December 23, 1985. Mungu ailaze mahali pepa roho ya marehemu.

0 comments: