KUMBE DIVA ALILIPIA GHARAMA ZOTE ALIZOTUMIA PREZZO ALIPOKUJA BONGO ILI AONEKANE NAE?? (PENZI LA UTATA)


In every action there is reaction, baada ya mwanamke mmoja anaejulikana kama Ashley Toto(Facebook) ambae amedai kuwa ni promota Mkenya aishie Frunkfurt German,kudai kuwa Jackson Makini a.k.a Prezzo sio chochochote na hutegemea mkwanja wa wanawake ili kuendelea kutunza hadhi yake, na kwamba hata alipokuja TZ, Diva ndiye aligharamia kila kitu ili awe nae, Diva nae kayatolea majibu, is it true Diva...?

Wait a minute.. kabla sijapata jibu la Diva the Bawse, kwani ni vibaya kuwezeshwa na mwanamke? Au kulipiwa gharama na mwanamke ili kupay a visit?...Hapa nadhani inategemea unalichukuliaje, kibongobongo usije kuitwa mwanaume kama binti. 

Diva ambae ni mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho na ni girlfriend wa CMB Prezzo (kuna utata) alifunguka kupitia akaunti ya Twitter, muda mfupi baada ya kutoka kijijini kwao alipokuwa ameenda msibani,na alikutana na maswali mengi, yeye alimshangaa mwanamke huyo aliyemuita mwehu.

“@swtlovex I just saw the story late as I was at the village. Back in town and am like Owkay. This woman man, she is insane!.”Alitweet Diva.

“@qaremjiv you know. She is crazy. He is The CMB. I just lol'd after that story, saw it @bongofive and I was like whaaat lmaoo!. @AMB_Prezzo”..

Kama unavyojua maana ya CMB ni Cash Money Brother..

Diva alikumbusha kuwa Prezzo ni Prezidaa, na kama unavyojua unatakiwa kuhesabu maneno yako kama unaongea kuhusu President.

 “Lol. Prezzo is The President. She nids to leave him alone , she is a hater "@cassim23: @DivaTheBawse she said you give some money mhhhhh”

Lakini inawezekana Diva akawa na mengi zaidi ya kufunguka, kuna interview aliyofanya na Prezzo katika kipindi chake, na ameahidi kuiweka kwenye mtandao leo..let’s wait, Diva na Prezzo wameulizana nini!

“Had interview wit @AMB_Prezzo will Upload it tomorrow thou!. #Cloudsfm #AlaZaRoho #DivaTheBawse thank you”Ametweet Diva

Kwa upande wa Kenya, Tuhuma nzito alizozitoa Ashley Toto zilijibiwa vikali na wakenya waliomponda msichana huyo na kumtetea Prezzo.
Ashley Toto
Je, msichana huyo ametunga ili kujipatia umaarufu, ama amesema ukweli ambao umeshindwa kuaminika!? Tafakari…

0 comments: