PENZI LA NADIA BUARI NA JIMY IYKE LAFANANISHWA NA PENZI KATI YA BEYONCE NA JAY Z

  
Nadia Buari


Baadhi ya watu na mashabiki wa wasanii wa filamu kutoka nchini Ghana Nadia Buari na Jimy Iyke wamesema penzi la wasanii hao linafanana sana na wasanii kutoka nchini marekani Beyonce na Jay Z. hii ni kwasababu wote ni mastaa alafu wote wanahela

Jimy Iyke na Nadia Buari

Beyonce and Jay Z
Nadia Buari na Jimy Iyke

JE UNAKUABLIANA NA MAWZO YA MASHABIKI KUWA PENZI LA NADIA BUARI NA JIMY IYKE NI SAWA NA PENZI KATI YA BEYONCE NA JAY Z

0 comments: