POLISI WAMTAKA MBOWE ATHIBITISHE KUWA POLISI WALIHUSIKA VIPI KATIKA BOMU LA ARUSHA LA SIVYO...

Polisi wamemtaka Mbowe na Bwana Lema wathibitishe mara moja jinsi polisi walivyo husika katika mauaji ya Arusha,wakishindwa basi watachukuliwa hatua kali za kisheria.

Maelezo haya yametolewa na Chagonja.

source Chanel 10

0 comments: