TAARIFA RASMI KIFO CHA SAIDA KAROLI

Taarifa toka kwa mkuu wa jukwaa la wahariri tz Nevile Meena zimethibitisha kuwa Saida Karoli ni mzima wa afya na yupo dsm hakuwepo eneo la tukio. Japo ofisi ya mkuu wa wilaya Muleba mkoani Kagera zimethibitisha kupokea taarifa za kutokea kwa tukio la kuzama kwa boti hiyo ambamo inaelezwa saida alikuwemo. Hivyo taarifa zilizozagaa juu kifo chake ni za kizushi pia zipuuzwe.



0 comments: