VIDEO: MKE NA MUME WAKICHAPANA MAKONDE HADHARANI

Wawili hao walionesha sinema hiyo ya kushitukiza katika mji wa Bungoma huo Kenya na kusababisha waliokuwa na muda wa kutizama waketi kando wakishibisha macho na masikio yao bila ya kuwaingilia.
 
Sehemu ya sinema hiyo ni kama inavyoonekana kwenye video ya KTN iliyopachikwa hapo...


ANGALIA VIDEO HII HAPA........

0 comments: