AIBU MSANII WA KIZAZI KIPYA AMBAYE NI BONGE LA TOZI NA PIA NI KIPENZI CHA MABINTI ATOROKA HOTELINI KISA DENI LA SH 40,000.
Kupitia U heard ya jana, inasemekana msanii Mr Blue amrubuni mfanya usafi wa hoteli inayoitwa Chriss, iliyoko Tarime, baada ya kuzuiwa kwa mabegi yake kwa kushindwa kulipa deni la shilingi elfu 40,000, inasemekana Mr Blue aliamua kucheza dili na mfanya usafi ili aende akamtolee mabegi yake na kumpa mtonyo kidogo, ambae alifanya hivyo na Blue kufanikiwa kuondoka bila kulipa deni hilo, kitu kilichosababisha mfanya usafi huyo kufukuzwa kazi..... Msikilize Gossip Cop hapo chini
0 comments: