BBA THE CHASE SASA YANOGA:HAKEEM & FATIMA OUT,NANDO APONEA KWENYE TUNDU LA SINDANO:

bba8_20130707_day42_lastwords_hakeem_fatima_lg
Hakeem na Fatima
Big brother The Chase inayokujia moja kwa moja kupitia DSTV kwenye channel 197 na 198 inazidi kupamba moto na washiriki wanazindi kupungua kwenye jumba hilo kuelekea fainali. Wiki hii ambayo tulishuhudua mshiriki wa Tanzania kuwa kwenye dangerzone ya kutoka ndani ya jumba hilo, hatimaye Tanzania na Africa kwa ujumla imemuokoa kwenye hatari hii ya kutoka. Washiriki wawili Fatima kutoka Malawi na Hakeem kutoka Zimbabwe ndiyo wameliga jumba la Big brother baada ya upigaji wa kura kama kumalizika kama unavyoona hapo nchini.
944705_394022090718613_841348358_n
Kura zilivyoenda wiki hii

wakazi_live_lg1_74d1aab9-1a24-4e1d-bbad-f477f8add475_101307201017067
Wakazi akiwa kazini
Kitu kingine kilicho make headlines kwenye Big brtoher wiki hii ni show ya msanii kutoka Tanzania Wakazi a.k.a Swaga Bovu ambaye alipiga show kali na ngoma zake mbili Weekend na Touch. Mtu wangu wa nguvu kama bado unamiss kuangalia vitu hivi vizuri vya Big Brother the Chase, fanya mpango na DSTV kwenye channel 197 na 198 utaona burudani hii inayo make headline Africa nzima kwa sasa.

0 comments: