Timu ya Bongo Fleva imeibuka kidedea kwa kuichapa Bongo Muvi mabao 3-2 katika mchezo wao wa leo kwenye Tamasha la Matumaini 2013. Mpaka filimbi ya mwisho inapulizwa mabao yalikuwa 1-1 ndipo zikaamriwa penalti na Bongo Fleva kuibuka kifua mbele kwa penalti 2-1
KR AKISHANGILIA
0 comments: