HUYU MAMA KATOA KALI YA MWAKA........ANAOMBA USHAURI
NAOMBA USHAURI
MIMI NI MWANAMKE MWENYE MIAKA 47 NIMETOKEA KUWA NA UHUSIANO NA KIJANA MWENYE UMRI WA MIAKA 18. KIUKWELI MIE NDO NILIYE MTONGOZA BILA SHAKA AKANIKUBALIA KUTOKANA NA KUWA NA UWEZO KIFEDHA, JAMBO LILILO NISUKUMA KUMTAKA KIMAPENZI HUYU KIJANA NI KUTOKANA NA KUTO
RIDHISHWA NA MUME WANGU KATIKA TENDO LA NDOA ,MUME WANGU ANA MIAKA 57 NA HAJIWEZI KATIKA MAMBO HAYO,ILA KWA HUYU KIJANA NARIDHIKA HASWAA, TATIZO LILILOPO NAONA KAMA NATAKA NIKAE NA HUYU KIJANA NYUMBANI KWANGU NA NIMDANGANYE MUME WANGU KUWA NI MTOTO WA NDUGU YANGU,ILI NIWE NAYE KARIBU KWANI KWA SASA SIWEZI KAA MBALI NAYE, KIKWAZO KIKUBWA NI JINSI GANI ATAONDOKA KWA WAZAZI WAKE,
NAOMBENI NISAIDIENI ...

0 comments: