INASIKITISHA: MTOTO WA DARASA LA TATU AUWAWA KIKATILI KWA KWA KUKATWA KATWA MAPANGA NA KAKA YAKE

Mwanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya msingi Kizega wilayani Iramba Bi. Mariamu Alphonce mwenye umri wa miaka kumi ameuwawa kikatili kwa kukatwa shingo na kucharangwa kwa panga sehemu mbalimbali za mwili wake na kaka yake bwana Elibariki Alphonce.


0 comments: