MHHH HII KALI: Ben Paul Aonyesha Msimamo, Asema Hata Akilipwa Milioni 800 Kwenye Show Kama Hii Hawezi Kuperform, Msikie hapa

Kufuatia upepo wa wasanii wa muziki hivi sasa kuonyesha ama kuweka wazi mapenzi yao na vyama vya siasa na wengine kujiunga kabisa na vyama hivi hapa nchini, Hali imekuwa tofauti kabisa kwa msanii Ben Pol ambaye ameapa kuwa hawezi kushiriki wala kupigia debe chama chochote katika shughuli zake.
Katika mahojiano ambayo msanii huyu ameyafanya exclusively na www.sammisago.com, msanii huyu ametoa kauli nzito kuhusiana na yeye kujihusisha katika vyama hivi vya siasa, pamoja na sababu ya uamuzi wake, Msikilize Ben pol hapa;

0 comments: