SHERIA MPYA YAPENDEKEZWA, UKISHINDWA KUOA WAKATI UMETOA AHADI BASI UNAFUNGWA

Kenya inapendekeza sheria ya mpya ya ndoa. Ukishindwa kutimiza ahadi ya kumuoa mtu uliyemuahidi unapelekwa mahakamani na ndoa za zaidi ya mke mmoja zitatambuliwa iwapo mume atathibitisha kupata ruhusa ya kimaandishi kutoka kwa mke wake wa awali. Hivi ndivo itavokua , nadhan ni sheria nzuri maana wasichana wengi wamekua wakipoteza bikra zao na muda wao kwa kudanganywa na wanaume kua watawaoa.

SOURCE: MDAU WETU Nas A Nas

0 comments: