SNURA ASHANGAZA MASHABIKI WAKE: KUMBE ANA MAPACHA!!!!
Msanii wa kike anaetamba na wimbo wa majanga EAST AFRICA amewashangaza sana wakazi wa tanga pale alipoingia kwenye stage na wacheza show wanne ambao wote ni mapacha wanaofanana kila kitu.Maswali yalikuwa mengi sana kwa snura kwanini aliamua kuwa na mapacha watupu kwenye sehemu ya wacheza show wake? alipoulizwa alijibu ''
Katika kuleta utofauti ndio mana nikaamua kuwa na wacheza show mapacha kwa kawaida napenda sana kuwa tofauti katika show zangu.ndio mana nikaamua kuwatafuta madansa wakike na wakiume. muandishi wetu alimuuuliza tena hawa ni mapacha wa mama moja baba mmoja wote wanne?
alijibu hapa wawili baba mmoja na mama mmoja na wawili baba mmoja na mama mmoja.Pia aliulizwa kama mapacha hao wataonekana kwenye stage wiki hii kweney kili tour ya moshi pia akasema yeye ni mtu wa tofauti sana wasubirie wajionee wenyewe.
0 comments: